Anatafuta rafiki

Soma kwanza!! marafiki hata huko shule ni wengi, wengine utawapata discussion na huko unakokaa.
sisemi wa huku JF hawafai!! la!! ila naona huo muda na internet ungeitumia ku google materials ya shule na kukomaa na kusoma.
 
Am looking for friends,nasoma kidato cha tano hapa mwanza....napenda amani. 0752 202052 AU 0715 206048

we mtoto sijui unasoma shule gani na combination gani!!!navyoijua Mwanza bado una tope jing sana usoni!!soma mdogo wangu!!maisha yapo!!achana sana na mambo ya mtandao,yatakupotezea muda!!!!!ajali ushauri huu kama zimo!!ukishindwa shauri yako!!!!!
 
Back
Top Bottom