Anatafuta mchumba kwa gharama yoyote!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mchumba.jpg
Namba zake ni 0713800800
 
Hapo ndio utakapojua watu wanatafuta umaarufu wa kuonekana kwa watu, kwa uhakika ukimchukua huyo una uhakika wa kupunguza idadi mko wangapi!!!
 
Kila shetani na mbuyu wake, kumbukeni hata vichaa kule mjini wanapataga mimba. That mean hata wao wana wapenzi na wachumba consequentially
 
Hajapata tu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hAHAHHAAAA na huo usafiri hapo kando ni wa kwake?? Yuko vizuri sana ngoja nimtafute mtu hapa aje kuonana nae, hivi kweli Little Angel hakufai huyu? Mkubalie bhana ndugu yako nipate huo usafiri. Halafu huo usafiri ni JEEP hio mwanangu, duh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom