Anatafuta kazi ya udereva,au salesman

twidikage

Member
May 19, 2011
5
1
ana driving licence class C, na elimu yake ni ya form four,anatafuta kazi ya udereva au salesman vyote ana experiense navyo kwa zaidi ya miaka saba,tafadhali wana jf msaidieni huyu ndugu yetu,ni kiajan mtulivu sana na huwezi kujutia kuwa naye
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom