anatafuta dume part 2 nimeweka na picha

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,362
490
huyu pet dog ni jike ninaitaji dume hata kwa kukodisha kama atafanikiwa kumpa mimba huyu hapa
 
Attachments

  • Image002.jpg
    Image002.jpg
    188.1 KB · Views: 267
  • Image003.jpg
    Image003.jpg
    222.1 KB · Views: 218
  • Image005.jpg
    Image005.jpg
    219.5 KB · Views: 147
  • Image006.jpg
    Image006.jpg
    173.9 KB · Views: 139
Can German Shepherd do it? Nna GS dume kubwa...halijapaona long time now, seriously...not joking, and I feel sorry for my dog not having some fun for such a long time!

But...awe amepata chanjo zake zote (uthibitisho wa cheti), nitakuonyesha vyeti vya mbwa wangu pia!
 
mkuu nipo sawasawa wala sijakosea check chini kuna watu nimewa tag ambao walielewa bandiko langu la mwanzo ....huyo mbwa akifanikiwa kuzaa watoto wake nitawauza bei mzuri sana ....

Mkuu mbwa yoyote anaweza akamuingia huyo.. au mbwa ya jamii yake tu
 
Can German Shepherd do it? Nna GS dume kubwa...halijapaona long time now, seriously...not joking, and I feel sorry for my dog not having some fun for such a long time!

But...awe amepata chanjo zake zote (uthibitisho wa cheti), nitakuonyesha vyeti vya mbwa wangu pia!

naah siwez kuruhusu hakutane na huyo german shepherd.huyu mbwa kimo chake ni kama cha paka mkubwa sema ametanuka kidogo.inabdi apate mbwa jamii yake .
 
Nna GS dume kubwa...halijapaona long time now, seriously...not joking, and I feel sorry for my dog not having some fun for such a long time!
mtafutie utamu lasivyo atakuwa zezeta huyo.mi nilikuwa nae muda kidogo umepita sema alikufa wakat nipo masomon akupata matunzo mazuri.alikuwa anapga kelele akiwa na hamu ya kudu kwa kulia badala ya kubweka.mtafutie jike then liasi
 
naah siwez kuruhusu hakutane na huyo german shepherd.huyu mbwa kimo chake ni kama cha paka mkubwa sema ametanuka kidogo.inabdi apate mbwa jamii yake .

Watu wengine banaamnaboaje???? sasa why hukusema toka mwanzo????
 
Back
Top Bottom