Anatafta mtu wa ku-share nae apartment

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Ni msichana (from Ethiopia), yupo DSM kikazi na amepanga nyumba maeneo ya Kariakoo, mtaa wa Narung'ombe. Ina 2 bedrooms, kitchen, sitting room, toilet na bafu na sitting room. Anatafta met ambaye watashare costs. Kwa sasa nyumba haina furnitures ila zitanunuliwa ila kama met atakuwa nazo anaweza kuzileta. For more details ni PM
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Miezi sita? hayo mambo yamepitwa na wakati, angalau miezi miwili au mitatu

Hee, Moony miezi sita unaona mingi? Miezi miwili/mitatu? Sijawahi ona mtu unarent nyumba then unalipa miezi miwili
 
Daaa, na mm wa mkoa nilikuwa na mpango wa kupata chumba mjini ili kupunguza ghalama napokuja mujini. Vp Hana shida na jinsi(a)?
 
mwambie salamnash@ hao waitheopia tabia zao sio nzur kwa kushea nyumba moja, ni wachafu sana, ni wakatili sana. uwe makini hapo
 
Usiwemuoga wewe, akufanyie ukatili we umekuwa kijakazi wake, unacharaza makofi heshima inarudi, kama we ni mwanaume unampiga mashine kwanza ili akili itulie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom