Anaswa Live!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
LIVE.jpg

Dokta Said wa zahanati moja iliyopo Magomeni, Dar es Salaam, amenaswa akimtoa mimba mwanamuziki wa kundi moja la Muziki wa Taarab, Mwanaidi Madani (kama inavyoonekana pichani).

The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda liliendesha uchunguzi wa kisayansi wiki iliyopita na kumnasa Dk. Said akimshughulikia Mwanaidi katika kukiua kitoto kisicho na hatia tumboni.

Mwanamuziki huyo alipozungumza na gazeti hili Ijumaa iliyopita alijibu: “Mimi nilikwenda kwa dokta kusafisha tumbo, lakini polisi walinikamata wakadai nimetoa mimba.”

Vyanzo vyetu vilitonya kuwa tukio la Dk. Said kumtoa mimba Mwanaidi si la mara ya kwanza, kwani amekubuhu kwa mchezo huo.
“Haa, huyo dokta mbona ndiyo mchezo wake?” Alisema mama mmoja aliyekuwa ameshika kiuno nje ya zahanati hiyo.
Source:LIVE - Global Publishers
:A S check_03:
 
Kwenye taifa lenye shida alfu lela ulela tena hasa afya... Shigongo ameamua kutuletea bibi zake. Wakati yeye ana mtoto wa watu pale mwenge anamuingia kinyume miaka nenda, miaka rudi... Sawa

nashangaa andhani yake hayajulikani:coffee:
 
Kwenye taifa lenye shida alfu lela ulela tena hasa afya... Shigongo ameamua kutuletea bibi zake. Wakati yeye ana mtoto wa watu pale mwenge anamuingia kinyume miaka nenda, miaka rudi... Sawa

ayaaa! kumbe! mkuu huyo mtoto wa kiume wa kike? shigongo si kaokoka jamani? lol salaleee!
 
kwenye taifa lenye shida alfu lela ulela tena hasa afya... Shigongo ameamua kutuletea bibi zake. Wakati yeye ana mtoto wa watu pale mwenge anamuingia kinyume miaka nenda, miaka rudi... Sawa

Duuuuh, mkuu hili unalosema ni suala nyeti, nashauri kama unalifahamu vyema tuandikie thread mpya inayoeleza uchafu wake ili wadau tumjadili vyema. Hatupendi watu wanaojidai kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.
 
Kwenye taifa lenye shida alfu lela ulela tena hasa afya... Shigongo ameamua kutuletea bibi zake. Wakati yeye ana mtoto wa watu pale mwenge anamuingia kinyume miaka nenda, miaka rudi... Sawa

kupata umaarufu na kufanikiwa kki biashara hapa bongo si lelemama, kunauchafu mwingi.: viungo vya arubino, blood sacrifices, sodomization, adultely with blood relatives etc.......................
 
Khaa jamani huyu si mpendwa huyu?? Kweli mwenye data atueleze vizuri, yeye ni fundi sana kumwaga ya wenzake?? Mbinguni kugumu sana ni rahisi kiboko kupenya tungu la sindano. Ptuuuuu.!!!
 
kwenye taifa lenye shida alfu lela ulela tena hasa afya... Shigongo ameamua kutuletea bibi zake. Wakati yeye ana mtoto wa watu pale mwenge anamuingia kinyume miaka nenda, miaka rudi... Sawa

we acha utani,,,kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom