anasimamia katiba ipi huyu?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
36,508
76,477
hapa dr shein rais wa zanzibar akiapa mbele ya jaji mkuu..kuingia kwenye baraza la mawaziri katika serikali ya Tanzania bara

Napenda kufahamu:..1.anaapa sawa ila atasimamia katiba ipi ya kule zanzibar au ya huku kwetu
2.anaingia kwenye baraza la mawaziri bara kama msikilizaji au waziri wa nini?
ni hayo tu ..kama kuna mengine tufahamishane

nawasilisha
 
Attachments

  • shein.jpg
    shein.jpg
    4.3 KB · Views: 60
Mshahara wa Urais wa Zanzibar ni mdogo kuliko wa waziri wa Tanzania, si vibaya akatengenezewa kaji allowance ka ziada kwani huyu ni mmoja katika wachapa kazi waadilifu.
 
hapa dr shein rais wa zanzibar akiapa mbele ya jaji mkuu..kuingia kwenye baraza la mawaziri katika serikali ya Tanzania bara

Napenda kufahamu:..1.anaapa sawa ila atasimamia katiba ipi ya kule zanzibar au ya huku kwetu
2.anaingia kwenye baraza la mawaziri bara kama msikilizaji au waziri wa nini?
ni hayo tu ..kama kuna mengine tufahamishane

nawasilisha

Na huu utaratibu umeanza lini.... Kwa Dr. Salmin Amoor na Karume mbona hatukuona wanaingia katika baraza la Mawaziri?
 
Mshahara wa Urais wa Zanzibar ni mdogo kuliko wa waziri wa Tanzania, si vibaya akatengenezewa kaji allowance ka ziada kwani huyu ni mmoja katika wachapa kazi waadilifu.

Nakubalia na wewe hapo mwisho, lakini hapo kwenye kutengenezewa kaulaji katiba inaruhusu?
 
Mshahara wa Urais wa Zanzibar ni mdogo kuliko wa waziri wa Tanzania, si vibaya akatengenezewa kaji allowance ka ziada kwani huyu ni mmoja katika wachapa kazi waadilifu.

hujajibu hoja ya mleta mada
 
hapa dr shein rais wa zanzibar akiapa mbele ya jaji mkuu..kuingia kwenye baraza la mawaziri katika serikali ya Tanzania bara

2.anaingia kwenye baraza la mawaziri bara kama msikilizaji au waziri wa nini?

si tanzania bara ni TANGANYIKA..
ATAINGIA KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI KAMA TOMASO
 
hujajibu hoja ya mleta mada

Kweli kabisa mkuu

Mkuu wanasema kaulaji kameandikwa kabisaaaa kwenye katiba yao
...na ndio maana
Na huu utaratibu umeanza lini.... Kwa Dr. Salmin Amoor na Karume mbona hatukuona wanaingia katika baraza la Mawaziri?
..
kwahiyo katiba ya zamani iliwakataza waliopita?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom