Anapodai ushuhuda wa kupendwa........

hivi hata Fixed Point kuna anayeweza kufurukuta kwako na hata kuthubutu kukusumbua......................bila ya kusumbulia kizazi kijacho kitatoka wapi?

Rutashubanyuma kunisumbua siyo lazima anifanye nalia kila mara, hata kukosa usingizi kwa kuyawazia mazuri anayonifanyia ni kunisumbua......................
kizazi kijacho Mungu angefanya utaratibu mwingine wa kuongeza watu duniani.
 
Last edited by a moderator:
Loh! una mafumbo sana na wewe hapa waongelea nini hasa...........
[MENTION]
Chauro[/MENTION] acha uvivu pasua jipu hivi nimeshupaliwa nimfanyie nini huyu mdada?
 
Rutashubanyuma kunisumbua siyo lazima anifanye nalia kila mara, hata kukosa usingizi kwa kuyawazia mazuri anayonifanyia ni kunisumbua.................... ..
kizazi kijacho Mungu angefanya utaratibu mwingine wa kuongeza watu duniani.
[MENTION]
Fixed Point[/MENTION] umebarikiwa sana mie ninatafuta wa kunifanyia mazuri nilie simwoni ila huyu wakunikamia nimfanye atakavyo yeye tu bila ya kujali masilahi yangu.............. duh
 
Ruta beti ya mwisho imenikuna sanaaaaaaaa....

promiseme niyo khali halisi tufanyaje sasa kam amambo ndivyo yanavyokuja hivyo.....................inabidi kwa vile tumeyavulia nguo aidha tuyaoge au tung'ake na kuvaa nguzo zetu kisha tukimbilie msituni..........
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point umebarikiwa sana mie ninatafuta wa kunifanyia mazuri nilie simwoni ila huyu wakunikamia nimfanye atakavyo yeye tu bila ya kujali masilahi yangu.............. duh
sasa hayo mapenzi ya upande mmoja yana raha gani? yaani kila siku wewe tu.......................... sijui umtose tu, au ukimtisa utazimia?
 
Kwani wanaotolewa bikra hawaachwi? Inaonekana unapingana dhamira yako we kumbuka curiosity killed the cat...

lemonade......am glad you are back..nilikhofu labda umeingia mitini baada ya kujua shinikizo lake linatoka wapi........
 
Last edited by a moderator:
sasa hayo mapenzi ya upande mmoja yana raha gani? yaani kila siku wewe tu.......................... sijui umtose tu, au ukimtisa utazimia?

Fixed Point nafikiri kanisoma na darasa langu lote sasa liko kichwani kwake anajua sina maujanja hata chembe kwake....................labda kanitia kwenye chupa.....lol
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma kakangu

Yataka kuyatambua, na siriye kuing'amua,
wanawake kwa hulka, aibu tumeumbiwa,
Hamu zikimzidia, kimya atajikalia,
Nawe usipoelewa, oohoo, si utampotezea.

Hebu wewe fikiria, miaka rudi miaka nenda
Kila siku wamwimbia, Eti, ooh! Mimi nakupenda
Kila mtu anajua, twafanyanii tukipenda
Huyo hujamuelewa, ataka la roho tunda....Hebu mfungulie uone

Lol,
Sijasema kwa ubaya, msije nishambulia
Hata mie ningekuwa, Lazima ningeumia
Vipi 'seme wanipenda, na tunda kunibania?
Hayo maneno matupu, Vitendo nitalilia.

Be back soon
 
Labda hajielewi so you need to show are that you care so much by going beyond yale anayojitakia

you will end up disappointed baada ya kugundua ya kwamba alijua vizuri atakacho ila alitaka kuona kama anaweza kusababisha ukaji-stretch mpaka ukasikia maumivu,na yeye ikawa ndo furaha yake,for all the wrong reasons!mi naona mkubwa hapa,fanya unachodhani unapaswa kufanya na yeye anastahili kufanyiwa kwa mtazamo wako....fullstop.ikishindikana hapo sio wako huyo,hapo ongea na moyo wako kama waweza vumilia hivyohivyo au chagua kusonga mbele!
 
Kabisa Purple...mengi kwa vigezo vya ruta...lakini kwa binti anayaona ni machache mnooooo! Chakarika zaidi Mkuu ruta au itakula kwako halafu uanze kulalama jamvini siku hizi hakuna mapenzi ya kweli!!! LOL!...Kumbe bado binti hujamchengua :):)

kama umefanya mengi lakini haridhiki ujue sio size yako lol!

Last edited by a moderator:
hata mimi naona yana-ruin dunia.......................
hivi yasingekuwepo si tungeishi kwa raha mustarehe?
hakuna kusumbuana................ unayempenda anakusumbua................ usiyempenda naye anakusumbua............... yaani tabu tupu
Umenichanganya kidogo.
Ungewezaje kuishi wakati usingezaliwa?. Kwa kuzaliwa kwako nasema ya-RUN dunia
 
promiseme niyo khali halisi tufanyaje sasa kam amambo ndivyo yanavyokuja hivyo.....................inabidi kwa vile tumeyavulia nguo aidha tuyaoge au tung'ake na kuvaa nguzo zetu kisha tukimbilie msituni..........
Sawa lakini msituni hakuna haja ya nguo tribe.jpg
 
Rutashubanyuma kakangu

Yataka kuyatambua, na siriye kuing'amua,
wanawake kwa hulka, aibu tumeumbiwa,
Hamu zikimzidia, kimya atajikalia,
Nawe usipoelewa, oohoo, si utampotezea.

Hebu wewe fikiria, miaka rudi miaka nenda
Kila siku wamwimbia, Eti, ooh! Mimi nakupenda
Kila mtu anajua, twafanyanii tukipenda
Huyo hujamuelewa, ataka la roho tunda....Hebu mfungulie uone

Lol,
Sijasema kwa ubaya, msije nishambulia
Hata mie ningekuwa, Lazima ningeumia
Vipi 'seme wanipenda, na tunda kunibania?
Hayo maneno matupu, Vitendo nitalilia.

Be back soon

yaani wewe bombu sasa umekuwa bomba sana.........
 
Last edited by a moderator:
you will end up disappointed baada ya kugundua ya kwamba alijua vizuri atakacho ila alitaka kuona kama anaweza kusababisha ukaji-stretch mpaka ukasikia maumivu,na yeye ikawa ndo furaha yake,for all the wrong reasons!mi naona mkubwa hapa,fanya unachodhani unapaswa kufanya na yeye anastahili kufanyiwa kwa mtazamo wako....fullstop.ikishindikana hapo sio wako huyo,hapo ongea na moyo wako kama waweza vumilia hivyohivyo au chagua kusonga mbele!

Rubuye123 sasa nimeamini penzi ni teso la wahusika............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom