Anapenda kujichanganya na wanaume.... Ushauri plz!

Kuna mshkaji wangu alikuja kwangu analalamika kuwa mkewe anamsifia sana John Mnyika..
ofcoz nilishangaa..but the guy was serious..
hata nilipomuambia kuwa Mnyika was a public figure..the guy still wasn't happy!
SnowBall ndivyo wanaume mlivyo aisee. miye huwa siwez kufanya kosa hili kwa mume wangu manake najua atakasirika. ngoja nikuchekeshe miye nina watoto 4 wote wakaka na wananipenda sana kila mara huwa wananikumbatia mama tunakupenda and they call me kila mmoja kwa jina lake like kama anaitwa clein basi ataniita mama clein umeona. sasa hapa napata upinzani sana kwa mr mnake wakinikumbatia na kunibusu utamsikia hebu njoo mara moja ukienda hakuna cha maana kumbe ni wivu tu anawaonea hata wanae.

and you can feel it pale anapokwambia mbona wanakukumbatia sana kuliko mimi ama anasema ningekuwa na kadada kangekuwa na mimi kananikumbatia. ukiona hivyo inabidi nitumie busara ya kumsogeza kwangau zaid huyu baba kuliko watoto ni ngumu sana kubalancce.
 
Last edited by a moderator:
SnowBall tatizo mtu akiwa rafiki yako ni lazima utakuwa unamkubali na kumuongelea inatokea tu kama hajali bila kupanga. Na the fact kuwa unakaa na huyo rafiki muda mwingi unakuwa unajua mambo yake mengi tuu. Sasa ndio uanza kuleta stori ya John kaagiza Vogue...jamaa anajua kuzichanga...mbona patachimbika.Lol.

Yalimkuta rafiki yangu. Mume wake ana urafiki uliopitiliza na mdada mmoja wote tunamjua vizuri (mimi na rafiki yangu) ina fact ni mshikaji wetu kwa mbaaali.

Huyo mume wa rafiki yangu kuna siku aliongea neno ambalo rafiki yangu hatakaa asaau...maana alikuja kushare na mimi na kwa kweli she was more than dissapointed.

Mumewe alimwambia eti "hivi wewe wife mbona hujifunzi kutafuta ela kama fulani"

Afu sasa huyo 'fulani' si tunamjua nje ndani...na siyo sisi tu ni kwamba anajulikana na wengi kuwa ni bad news. Yeye yuko tayari kuvua chupi wakati wowote as long as kuna tenda anayofukuzia. Rafiki yangu akaniuliza NK huyu mume wangu ana maana gani kunambia niwe kama fulani? Nilibaki kimya. Akaendelea kutiririka..anataka nianze kujiachia kwa wanaume ili nifanikiwe kama rafiki yake.

Kwanza watu wanasema huyo dada na huyu mume wa rafiki yangu wana urafiki zaidi ya wa kawaida...wakizidiwa wa do kama kawa.

Wakati mwingine huwa nadhani kama mtu una'do' naye inakuwa ngumu kum'expose' unnecessarily..
Sema haya mambo hayanaga formula..but do you think..in most cases inakuwa kama hivyo mnavyodhani kwa huyu shemeji yenu??..kwamba atajwaye sana but anahusika?
 
SnowBall ndivyo wanaume mlivyo aisee. miye huwa siwez kufanya kosa hili kwa mume wangu manake najua atakasirika. ngoja nikuchekeshe miye nina watoto 4 wote wakaka na wananipenda sana kila mara huwa wananikumbatia mama tunakupenda and they call me kila mmoja kwa jina lake like kama anaitwa clein basi ataniita mama clein umeona. sasa hapa napata upinzani sana kwa mr mnake wakinikumbatia na kunibusu utamsikia hebu njoo mara moja ukienda hakuna cha maana kumbe ni wivu tu anawaonea hata wanae.

and you can feel it pale anapokwambia mbona wanakukumbatia sana kuliko mimi ama anasema ningekuwa na kadada kangekuwa na mimi kananikumbatia. ukiona hivyo inabidi nitumie busara ya kumsogeza kwangau zaid huyu baba kuliko watoto ni ngumu sana kubalancce.
gfsonwin sasa huu ni WIVU? au ni nini? yaani hata wanao?
Nachelea sana kuita huu kama ni wivu..lol!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kama wana do evidence tunayo...sitaki kuanika kila kitu humu maana wahusika wasije kujijua. Evidence ipo...na rafiki yangu urafiki wa mume wake na huyo dada haupendi...ila mume wake ni mbabe tu...na mdada anajidai kauzu.

Tatizo la rafiki yangu hana jeuri ya kumpa mtu za uso. Mimi ningemchimba biti huyo dada na asingemsogelea mume wangu tena in the name of urafiki....urafiki my foot!

Yeye anabaki kulia lia pembeni.

Na si suala la ku mu expose...situation ilivyo ni complicated tungejua tu watake wasitake kwani kuna interaction kubwa kati yangu, rafiki yangu na huyo rafiki ya mume wa rafiki yangu, na mume wa rafiki yangu...tuna ka business relation fulani hivi. Hivyo urafiki wao hauwezi kuwa siri


Wakati mwingine huwa nadhani kama mtu una'do' naye inakuwa ngumu kum'expose' unnecessarily..
Sema haya mambo hayanaga formula..but do you think..in most cases inakuwa kama hivyo mnavyodhani kwa huyu shemeji yenu??..kwamba atajwaye sana but anahusika?
 
gfsonwin sasa huu ni WIVU? au ni nini? yaani hata wanao?
Nachelea sana kuita huu kama ni wivu..lol!

This is typical jealous and to men is established when wife devotes her time to kids, especially her passionate time. ujue as mother kuna muda you need to show your kids that you love them, lazima utawakumbati autawabusu, sometimes unawabeba so the passionate in it huwa kwa wababa nawakwaza sana na ndio maana wengine hudiriki kusema toka tupate watoto upendo umehama but siyo kweli ni kwasababua tu ya uselfish wa wababa wanataka hata muda wa kuwa na watoto uwe naye.
 
Na kwa tabia ya huyo mdada ilivyo...mume wa rafiki yangu hawezi ku claim ownership ..say kumwita nyumba ndogo kwani hata yeye anajua ni cha wote... nakwambia ni chupi mkononi...Hivyo jamaa anapiga akizidiwa. Na ana marafiki wengi tu wa kiume na ndio wanaomfanya dili zake ziende.
 
Makubwaaaa! Ni wivu tu unakusumbua. Unapenda akae na wadada wapige umbea...
Mie napenda Marafiki wa kiume kuliko wa kike.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Na kwa tabia ya huyo mdada ilivyo...mume wa rafiki yangu hawezi ku claim ownership ..say kumwita nyumba ndogo kwani hata yeye anajua ni cha wote... nakwambia ni chupi mkononi...

dah, huyu dada si afadhali asivae chupi kabisa ili awe tayari kwa mpambano kila anapohitajika....
 
Habari zenu jamani?
Mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana (kwa mujibu wa mdomo wake)
Sasa tatizo ni kwamba anapenda sana kukaa na kupiga story na wanaume.
Niliwahi kumwambia kuwa sipendi tabia hiyo na akaniahidi ataiacha.
Sasa juzi nilimkuta kwa macho yangu akiwa amekaa na wanaume watano huku mtoto wa kike akiwa peke yake wakipiga story. Hivi jamani mi nimuelewaje mtu huyu? Kweli ni sawa kwa mtoto wa kike kupenda kujichanganya na wanaume kiasi hiko. Hebu nishaurini maana hapa nilipo nafikiria kumuacha japo ameniahidi hatorudia tena.

bro kupiga story na wanaume xio kutenda tena wa hvyo ndo huwa wagumu kutoa kinoma.
 
Kuna wadada hasa wanaoishi kwa madili wanapenda ku befriend watu influential si urafiki tu...friends with benefits.

Sasa ndio mshangae kama ni urafiki wa kutoka rohoni kwa nini wanachagua watu fulani fulani???
 
mmh, hivi hii ipo?

yaaani kaka asikwambie mtu wababa wengi sana wana wivu juu ya watoto wao wa kiume hasa pale wanapokuwa wananaonyeshwa mapenzi manake nyie mko kila kitu mnapenda mfanyiwe nyie tu.

kama wewe huna hii mshukuru sana Mungu aisee.
 
angalia hao anaokaa nao wana tabia zipi? kama ni wavuta bangi aache mara moja.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kama hilo ni kosa na sababu ya kuachwa kwenye mahusiano naona na mimi nilitanikumba!!!! Tangia ninasoma nimekuwa na kampani ya wavulana/wanaume wengi kuliko wanawake/mabinti. Nimefanyakazi katika mzingira ya wanaume zaidiiiiiiiiiiiiiiiiii

Na mpaka sasa nafanya kazi ofisi ambayo wanaume ni wengi kuliko wanawake na kwa bahati nzuri mi mwanamke peke angu......Life langu lipo happy manake hakuna shosti wakushindana naye mambo....navaa nikipendacho kwa mapenzi yangu....Niko nilivyo kwa matakwa yangu mimi, sishindani na mtu wala nini.

Rafiki yangu wa kike ni ndugu yangu mmoja hivi yani huyo ndo wakupiga naye stori za kike kike.....hakuna Umbeya wala nini......maisha yanakwenda safi sana ukiwa na marafiki wa kiume. Wanaongea ukweli kuhusu wao wenyewe....wanakupa mbinu za kujua life linavyokwenda. Ahiiiii we ukitaka uwe na maisha safi bahatika kuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike.
 
Hadi naogopa kwa kweli, maana unaniiga mawazo.

Wasichana walio kisichana sana wanachosha aisee, afu afu . . . .

Yaani ww umeniona naweka miguu juu ya meza ushaanza kunisimanga! Kha!

Its nice to be a tom-boy. Unajua hat_tricks zote za wanaume na hawakusumbui! Hata relationships hazikutesi. Fussy galz are not very good friends bana!

Sifa ulizozitaja sio za tom-boys. Unaweza kuvaa mini-skirts na high heels, have stylish hair and still be a tom-boy at heart! Kumanua na kupiga mbinja sio necessary tabia za tom-boys. Kuna 'sexy' tom-boys.lol
 
Vipi ndugu unahisi jamaa wanapiga mtungo?
Mlipoanza urafiki alikuwa anatabia ya kupiga story na kina nani?
 
ndugu yangu mtoa mada ngoja nikwambie kitu fulan, huyo binti atakuwa wala hajaathiriwa na makuzi ama malezi bali mazingira. yawezekana kabisa akawa ameshashuhudia kadhia za marafiki wa kike ambazo ni uchoyo, umbea, kijicho na wivu wa kishenzi pia kutetana. Binafsi mimi hapa mara kwa mara nimekuwa sipend kampani ya wadada kama ya wakaka na sababu kubwa nilizo ziona ni hizi hapa

- wakaka wakikupenda wanakupenda kiukweli, watakuonya watakusaidia na watashirikiana na wewe as their sister pasi hata kutaka maishu ya ngono. ni kampan ambayo utaipata at any time incase of anyproblem. hasa wakati wa matatizo makubwa kama misiba. hawa ni watu ambao watakufunga turubai,watafanya usafi,watachimba kaburi bilakinyongona tena watafanya kwa moyo sana ikiwa ni mshakaji wao.

- wakaka watakuthamini sana, na thamani yao huenda mbali kama vile atakapo kuwa anataka kuoa ama kwenda shule akushirikisha pasi kinyongo.

sasa kwa huyu binti just make sure kwamba wewe hakuibii muda wako ila kama that is during her time siyo mbaya. MCHUNGUZE KATIKA HAYA je ana haiba ya kike? yaani siyo mropokaji hasa wa matusi, siyo mpayukaji, akaapo hukaa kike yaani siyo swala la duka la mzungu li wazi. pia muangalie kama kwa kampani hiyo anashinddwa kumeet her female obligations.

dada gfsonwin, na je ni kweli wanawake hampendani?
 
Last edited by a moderator:
mfanyie 'background check'; it is possible katika makuzi yake ametokea ku-interact zaidi na wavulana kuliko wasichana wenzake, which might not necessarily be a bad thing

Acha wivu kaka, huyo atakuwa amezaliwa kwenye wavulana wengi. Ataacha taratibu siyo kitu cha mwezi au mwaka, mpe muda ataacha mwenyewe.

Othewise utakuwa unamuonea tu.
 
Back
Top Bottom