Anapata orgasm akimnyonyesha mtoto!!! ushauri plz

waifu yuko holidei, halaf naona anaiprolong tu hii holidei sjui anataka kunitema? hakyanani alisema anakwenda wiki 2 sasa unakatika mwezi, sjui nianzishe sredi?


Haa tangu siku ile??? Duh muda mrefu lakini hebu muulize shida iko wapi
 
Kwa kweli pole zake huyu dada! Mimi nina watoto... lakini hii kitu sio kawaida....mimi sijawahi kuiskia. amwone daktari kwa ushauri zaidi!
 
Haa tangu siku ile??? Duh muda mrefu lakini hebu muulize shida iko wapi
hamna shida yaani anasemaga anamalizia sabab akilejea hataki kwenda holidei for at least miaka 4 inayokuja. but on the other hand i am enjoying my freedom again. hizi ndoa samtaimu ni kama jela. khaaa!
 
ushaur wangu ni vizur ukawa unamkamulia maziwa ili aendelee kunyonya na pia nenda kamuone daktar wa ushaur wa wakinamama na watoto akusaidie zaid pole sana
 
Kwa kweli pole zake huyu dada! Mimi nina watoto... lakini hii kitu sio kawaida....mimi sijawahi kuiskia. amwone daktari kwa ushauri zaidi!
msimlaumu sana mdada, pengine hako katoto kananyonya kiuchokozi uchokozi. si unajua mwili wa mwanamke ni kama umeme ,ukipata spark tu unaripua kila kitu.
 
msimlaumu sana mdada, pengine hako katoto kananyonya kiuchokozi uchokozi. si unajua mwili wa mwanamke ni kama umeme ,ukipata spark tu unaripua kila kitu.

Hebu mwambie arudi haraka bana usije ukaanza na house girld au ka small hausi kakajenga kibanda
 
hahahahhahaahaha , Nadhani ni jambo la kawaida, girlfriend wangu alisha wahi niambia hiilo jambo , yeye hakua anapata orgasm ila alikua ana sikia ashk pale mtoto anapo mnyonyesha , ila tatizo liliisha kwa mtoto wa kwanza.
 
Hii ni hali ya kawaida kwa baadhi ya Wanawake inawatokea. Kama tujuavyo matiti ni sehemu mojawapo katika mwili wa mwanamke ambayo iko very sensitive. Sijui kama kuna namna ya kufanya ili kuepuka kufika huko kileleni. Kwa maoni yangu si jambo la kuhofia ama kumfanya akose raha.
 
Ahene nkima ebhe lekaga imihayo yako nu bhudoshi bhoko. Unene nagutogilwe gete gete. Managa giko lulu..
kunyoke sekudo marapakolo chichi sichiki utoto penye beh kuchukia si kodile danyunzo kupereri kha
 
Under 18 at work wasituchoshe akili hawa.

sioni issue kabisa.

Kama umezaa na mtoto anataka kunyonya unaweza kweli kumfikiria baba yake??
Na kufikia orgasim??? Serengeti boys/girls hapa sioni cha kudisikasi


Sijawahi kusikia kitu kama hiki tokea nizaliwe. Na kama ni cha kweli, mtu awahi matibabu lazima ana tatizo la kiafya na kiakili.
 
Me donne la réponse comme vous avez été demandé avant d'est vous n'êtes pas un enfantin ? Ne jamais jouer avec la vieille personne que vous ne savez pas wright le jeune garçon

Alu ukulongo chichi Dena lonje chinhu watu wose watuge chilonji chako!
 
Ngoja ni Google kwanza then nitarudi kwa ushauri mzuri zaidi
Labda acha kunyonyesha,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom