Anaomba ushauri

Me naamini usafi hapo hauzingatiwi, na la matumizi ya TP, ni makubwa hapo, watu wanasahau maji ndo suluhisho la usafi, pia huyo jamaa kashaathirika kisaikolojia hivyo hata huyo mama akiwa msafi kiasi gani jamaa bado hizo harufu atazisikia tuu.
Cha msingi wapeane likizo kwa muda, I mean mmoja asafiri kwa muda kamamapunziko ili atakaporudi iwe katika kumissiana wawe kama ndo wanaanza moja.
Tiba pia itumike vizuri
 
Huyu utakuwa ni wewe wala sio rafiki yako, fullstop!

Kama ni kweli dawa yake nusu lita ya bleach achanganye na ndimu na vijiko 5 vya chumvi pamoja na magadi. Asisahau shabu na ile 'blue' ya kufulia nguo nyeupe. Atumie kwa siku 3 kutwa mara 6 atashangaa mabadiliko na kipindi cha dose anaweza kumvisha mama pampers atoboe katundu kadogo kwa nyuma kwa ajili ya staili ya mbuzi kagoma
 
Acha usokwe wako wewe huwezi mshauri mwenzio chapa lapa kwani lazima.
 
  1. yaonekana ni mkeo huyu, na wakati mnaanza uchumba hiyo harufu ya beberu haikuwepo uione leo au vya wengine vimekuzuzua mjomba.

Post nyingine zina-discourage!!!! Kama huna huna ushauri is it muhimu kupost any of your thoughts........... vingine meza bana!!!!!!
 
Aende tu hospitali,linatibika hili na amvumilie mkewe,ni mapito yana mwisho.......

Na Mungu pia wamuombe,vitu vingine si vya kawaida,haiwezekani huyu dada si msafi na malalamiko yote ya mumewe,ni tatizo tu limempata.

Mpe pole sana,Mungu atamsaidia.:disapointed:
 
Kuhusu harufu ya kinyesi mkeo anaweza kuwa na tatizo la piles-bawaziri,tatizo la harufu ukeni anaweza kuwa na infection ya aina flani, harufu ya mwili afanye mazoezi,kuoga na medicated soaps na kutumia deodorant au perfume na wengine husugua kwapa kwa kipande cha ndimu na kuosha baada ya dakika kadhaa.Kama uko mijini mpeleke sauna mara 1 kwa wiki utaona tafauti kubwa kwenye harufu.
Matatizo ya harufu za kinyesi/uke mpeleke hospitali apate tiba.

Nimesikitishwa sana na hatua yako ya kuleta mapungufu ya mkeo hadharani ni tabia mbaya na HAIKUBALIKI/VUMILIKI!
 
Huyu utakuwa ni wewe wala sio rafiki yako, fullstop!

Kama ni kweli dawa yake nusu lita ya bleach achanganye na ndimu na vijiko 5 vya chumvi pamoja na magadi. Asisahau shabu na ile 'blue' ya kufulia nguo nyeupe. Atumie kwa siku 3 kutwa mara 6 atashangaa mabadiliko na kipindi cha dose anaweza kumvisha mama pampers atoboe katundu kadogo kwa nyuma kwa ajili ya staili ya mbuzi kagoma

He wewe unataka kumchuna mwenzako huko sehemu za siri kwa mchanganyiko huu. Ni afadhali aende hospitali kwa gyno akaeleze hayo matatizo yake na apendapo Mungu atapatiwa ufumbuzi.

Jengine ni kwamba huyu jamaa ameomba ushauri sasa kwa nini munamshurutisha kuwa ni mke wake? Hata kama ndiye lakini yeye hakumtaja jina wala mtaa anaoishi na wala hatumtambui. Kwa hivyo ni vyema mukampa maneno ya msaada.

Ingekuwa ametaja jina lake/rafiki yake na huyo mkewe hapo ndiyo ingekuwa issue.
 
Duh! Hii kali
 
Watu wengine bwana, mawazo yao ya kitokito tu.
 
Nimesikitishwa sana na hatua yako ya kuleta mapungufu ya mkeo hadharani ni tabia mbaya na HAIKUBALIKI/VUMILIKI!
Angepeleka wapi? Huoni kuwa amepata ushauri wa maana hapa ambao pia unasaidia wengine. Wewe vipi bana?
 
Kuhusu harufu ya kinyesi mkeo anaweza kuwa na tatizo la piles-bawaziri,tatizo la harufu ukeni anaweza kuwa na infection ya aina flani, harufu ya mwili afanye mazoezi,kuoga na medicated soaps na kutumia deodorant au perfume na wengine husugua kwapa kwa kipande cha ndimu na kuosha baada ya dakika kadhaa.Kama uko mijini mpeleke sauna mara 1 kwa wiki utaona tafauti kubwa kwenye harufu.
Matatizo ya harufu za kinyesi/uke mpeleke hospitali apate tiba.

Nimesikitishwa sana na hatua yako ya kuleta mapungufu ya mkeo hadharani ni tabia mbaya na HAIKUBALIKI/VUMILIKI!

Hivi huyu jamaa kasema ni mkewe kweli, au mi nimesoma vibaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom