HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,566
Mapenzi yanatesa jamani, pole sana! Ita watu wako wa karibu pamoja na huyo ex wako pamoja na mumewe mkae kikao na kuwaambia msimamo wako. Dhamiria na maanisha kwenye yale utakayozungumza. Uwe na msimamo thabiti huyo dada asikuharibie maisha yako mapya. Loh!