Ananipenda sana lakini

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Nna rafiki wa kike lakini cha kushangaza nikimwambia kitu lasima akifanyie marekebisho kwanza watu na ataki marafiki zake wajuwe kuna sku nimesafiri kwenda mbeya alilia sana na sasa nimerudi dar lakin nikimwambia nmtoe out mara1 kasema anaumwa leo asubui nikamwambia tutoke kaniambia ANASIKIA UVIVU wa kutoka leo. Nimwache au
 
Huenda amekuona ako m-ugly sana!
 
Acha kumcontrol, love is when you feel free with someone you love. Umetaka kufunga fb yake na sasa hupendi marekebisho toka kwake. Hapo hapo unalazimisha mtoke ikiwa yeye hataki, mimi naona jipange kwanza....
 
huyu ajielewi
 
pengine si mtokaji kalelewa ndani na shule tu, au anajionea aibu kutoka nawe yaani hajiamini kwa alivyo, anakuona sio hadhi yake na akupendi.
 
mna muda gani kwenye urafiki? kama vipi, piga chini usonge mbele... life is too short to waste your precious time on unreciprocated 'love'
 
pengine si mtokaji kalelewa ndani na shule tu, au anajionea aibu kutoka nawe yaani hajiamini kwa alivyo, anakuona sio hadhi yake na akupendi.

anao wengi kama wewe ukitoka nae itakuwa soo.mwalike nyumbani kwako atakuja tu. kama vp pigs chini. mapenzi si utumwa.
 
Back
Top Bottom