ananipenda lakini simpendi hata kidogo

Ulifanya makosa kumwambia kuwa unampenda mno, wakati ukweli ni kwamba hayupo kabisa kichwani mwako! Swali la kizushi: Kama lengo lako ilikuwa ni kupita tu, kwa nini hukumwambia kuwa unataka mahusianoya muda? Kama hukuwa unampenda, kwa nini hukufikiria kutafuta binti ambaye unahisi unampenda japo kidogo tu ili hata ikitokea akapata mimba usijilaumu? Anyway, hayo tuyaache. Unachotakiwa kufanya kwa sasa, tafuta lugha laini ya kumweleza ukweli na atakuelewa. Mwambie kuwa nawe unatamani ku-feel kama yeye juu yako, lakini umeshindwa licha ya kujaribu kwa juhudi zako zote. Mpe pole na umwambie kuwa haitawezekana kuwa naye kwa kuwa utakuwa unampotezea muda bure. Hope that'll work!
kumbuka alimwambia kuwa anamgenda sana, sasa from no where atamwambieje hayupo moyoni mwake? Ameyavulia maji nguo hana budi kuyaoga.
 
ooh ifeel sory for her,, why inahappen kama hiv kwa wanawake jamani? na kwanini tunakuwa tunakabidhi nyoyo zetu kwawatu makatili kama hivi? kwanini umekua ukimkshifu mtu humpendi ,emagine ktu kma hicho kinatokea kwako ,how are you gonna respond of it?unapo tenda kitu angalia adv and dis adv,, umsipanish mtu kwa kosa ambalo umelitenda na nan alieanza kumtokea mwenzake? wewe ? then nao is useless kime expire ,, aaaa sio vizur kabisa ,,leo una mwagaa jf ,nampa pole uyo dada asiye jua whts goin on behind the sins,
 
Usimwache we endlea nae kama anakurecharge vocha ya buku kumi kwa siku 15 utakuwa umevuna pesa nying sana za kima cha chini cha mfanyakaz.
 
Ninampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time anilushia vocha kuanzia ya buku10,nahuwa nikifanya nae sexy hwa si enjoy kama nipo nam2 nimpendae.je nianzaje kumwambia na hali nilimsistiza kuwa nampenda mno wakati namtoke?

Mshenzi wa tabia.............................................na dada zako watafanyiwa hayo hayo...........................

What goes around comes around.......................pu**$%^&>*"!vu!
 
Sema nawewe njaa inakusumbua vyake unata ila yeye umpendi!Usimuumize kama unaona umpendi sepa kisilencer kwani kuna watu wanapata tabu juu yake!usimfanyie hivyo mm kama mwanaume sipendi!nakuweka hapa uwanjani siyo ujanja kwamba watu watakuona wewe ni super selective!unajishusha hata ukilogwa ukamtokea demu wa kiwanja hiki atakutosa!
 
Mshenzi wa tabia.............................................na dada zako watafanyiwa hayo hayo...........................

What goes around comes around.......................pu**$%^&>*"!vu!

Wewe lazima yamekukuta, watu wamekula mzigo hadi utamu ukaisha wakakutupia vilago vyako maana hizi hasira ni za sakafuni mwa mtima kabisa
 
Mwambie ukweli sasa kuliko kuendelea kumpotezea muda.
Ila kijana mapenzi hayaonjwi.
 
je nianzaje kumwambia na hali nilimsistiza kuwa nampenda mno wakati namtoke?[/QUOTE]Kosa ulilolifanya ni kutomwambia ukweli kabla. Kama unaona sio chaguo lako muambie ukweli kuliko kumpotezea muda wake, kiukweli inasikitisha sana mtu kumuweka mwenzake katika malengo ambayo yeye mwenyewe alitoa ahadi anashindwa kuyatekeleza hivyo pia fikiria kuwa ungekuwa ni wewe ungejisikiaje?
 
Wewe lazima yamekukuta, watu wamekula mzigo hadi utamu ukaisha wakakutupia vilago vyako maana hizi hasira ni za sakafuni mwa mtima kabisa

Ulitaka apewe hongera?..................lazima ajue kuwa anachokifanya si sahihi mbele ya jamii.
Jamii ni mimi na wewe na wengine wanaomzunguka.................
 
Unaonekana ni Tapeli wa mapenzi - unajifanya mjanja kwa kumdhalilisha Dada wa watu - eti simpendi - ushauri

1. Rudisha kiasi cha vocha zake zote ulizotumia - yeye alikupa kwa mapenzi ..........shukuruani yako umemwona mjinga
2. Acha kuchezea moyo wake huyo Dada .................. pamoja na kuwa utamwumiza moyo wake - mwambie ukweli ili aendelee na shughuli zake
3. Ujitayarishe kuvuna ulichopanda - iko siku UTAMPENDA MTU NAYEYE ATAKU- TENDA KAMA UNAVYOMTENDA HUYO DADA
4. Mwombe Mungu akusamehe ulivyo na ubadilike uache tabia ya KUTAPEL KWENYE MAHUSIANO

ni ushauri wa bure nimekupa - ukipenda UFANYIE KAZI

nawakilisha
 
Back
Top Bottom