ananipenda lakini simpendi hata kidogo

Jul 13, 2011
64
8
Ninampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time anilushia vocha kuanzia ya buku10,nahuwa nikifanya nae sexy hwa si enjoy kama nipo nam2 nimpendae.je nianzaje kumwambia na hali nilimsistiza kuwa nampenda mno wakati namtoke?
 
Mwambie mzuka umeisha juu yake
 
Itakuwaje humpendi then useme nina mpenzi wangu?
 
Ulifanya makosa kumwambia kuwa unampenda mno, wakati ukweli ni kwamba hayupo kabisa kichwani mwako! Swali la kizushi: Kama lengo lako ilikuwa ni kupita tu, kwa nini hukumwambia kuwa unataka mahusianoya muda? Kama hukuwa unampenda, kwa nini hukufikiria kutafuta binti ambaye unahisi unampenda japo kidogo tu ili hata ikitokea akapata mimba usijilaumu? Anyway, hayo tuyaache.
Unachotakiwa kufanya kwa sasa, tafuta lugha laini ya kumweleza ukweli na atakuelewa. Mwambie kuwa nawe unatamani ku-feel kama yeye juu yako, lakini umeshindwa licha ya kujaribu kwa juhudi zako zote. Mpe pole na umwambie kuwa haitawezekana kuwa naye kwa kuwa utakuwa unampotezea muda bure. Hope that'll work!
 
Hakuna pole kwenye kuachwa ndg yangu.
 
Ninampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time anilushia vocha kuanzia ya buku10,nahuwa nikifanya nae sexy hwa si enjoy kama nipo nam2 nimpendae.je nianzaje kumwambia na hali nilimsistiza kuwa nampenda mno wakati namtoke?

habari zako unachanganya
kama ungekuwa huna mpango nae wala isingechukua muda
bado unashirikiana nae sex bado unapokea mpaka vocha na kusaidiana wewe na yeye na bado unakubalia mkutane mfanye sex na hapo unasema humpendi
Huo mzuka wa sex unatoka wapi wakati mtu hata moyoni mwako hayupo
Kuwa wazi na yeye na mwelezee wazi usifanye mambo ambayo bado yanaonyesha kuwa bado mna mipango ya pamoja
 
NI mzushi eti?
 
kama humtaki unapokea vocha zake na pesa zake za nn? acha kumchuna kama huna mpango naye....usipokee hata anavyokupa kama kweli humtaki.
 
pesa unayopokea ndo inakuponza. Halafu wakaka wa cku hz mmh mnapenda kuhongwa matokeo yake ndo hayo.
Bt mweleze dada wa watu, mambo ya kupotezeana muda hayafai!
 
Jamani mbona hamja muliza kama kaenda kwa ajili ya pesa za huyo mwanamke au alikua na jengine? sababu kwanza hata jogoo hapandi mtungi kama mtu humpendi,au anatatizo mwanamke hakufikishi au ebu jaribu kuelezea vizuri au niseme fafanua ili wakubwa hapo wakupe ushauri.
 
Wenzio 2natafuta hzo bahat,wew unazichezea mkuu?dah!kweli love co fair game kabisa.
 
Nasri ukimtel ukwel itamsaidia kuliko kumpa hopec anajua ana m2 kumbe humfil mwmbie mapema ajue afanye nin
 
Inaonekana bado hujajielew unataka nini kwny mapenz, tuliza akili na uwe na msmamo unaoeleweka achen kupotezeana muda maana hta na wewe unapoteza muda c yeye 2
 
Back
Top Bottom