Ananing'ata! Kwa kweli naumiaga!

Mi naona huyo mpenzio kaambiwa na marafiki zake kuwa sehemu zinazoleta stimu kwa mwanaume ni kifuani pamoja na kwingineyo sasa ndo maana kafanya hvyo ili kuthibitisha
 
Inaelekea umekaaa ki-kitimoto kitimoto..................sasa kwa wale wapenzi wa hi kitu walikokubuhu anashindwa kujizuia :lol:!
 
Sasa hapo nijitihada za huyo mpenz wake kumuwahi kumtengeneza huku mdomo wake ukiwa unacheza sana nae ili acpate upenyo wa kuweza kumng'ata.
 
Back
Top Bottom