Ananing'ata! Kwa kweli naumiaga!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,592
1,599
Sasa hii inakoelekea ni balaa!!

Hivi hii ni starehe au ni kitu gani? Et mtu mko kunako sita kwa sita, mara katika kuandaana ili kila mtu aingie katika ulimwengu ule akiwa na raha......demu anavamia nipple zangu!!!......anaanza kuziminya na kuzing'ata kwa meno kama vile anataka kuzichomoa.......anazing'ata weeeh..mi najitahidi kujikaza kwa kudhani kuwa labda atacha muda si mrefu....anaachia...anang'ata....anaachia...anang'ata!

Sasa sijui na yeye ndiyo namna anavopata raha akining'ata? Kila ninapokutana nae, mi hutoka nikiwa na maumivu makali kwenye nipple zangu baada ya gemu! Nikimuuliza anasema eti hata yeye hajui kwa nn inatokea ivo! Kuna muda mpaka nilikuwa nafikiria nitafute helmet ya kifuani lakini nazo hazipo halaf itaharibu mtiririko wa mpenzi! Sasa nimfanyeje huyu kiumbe?
 
Pole mzee!mweleze tu ukweli kwamba unaumia akifanya hivyo!
unjua huyu kiumbe ikifika mida ya kuandaana anakuwa kama kachanganyikiwa, sijui ni vile ninavyomfanyia? halaf nikimwambia anasema...''am sorrry! sikumbuki kama nimefanya ivo kabisa''
 
Mwambie ukweli iko cku midadi ikimpanda vizur utakuta gololi moja haipo..mwambieee kuliko kuumia..
 
akitaka game mkaushie kwa muda, akiuliza vp mbona unampotezea? mwambie unauguza maumivu ya chuchu, lazima aache unless kama atakuwa na pengine pa kupoozea
 
.....me love this avatar.....
avatar14192_2.gif
 
Plz The Boss niruhusu nitumie huu msemo... "JF is never boring" nimecheka saana.

......"anazing'ata weeeh..mi najitahidi kujikaza kwa kudhani kuwa labda atacha muda si mrefu....anaachia...anang'ata....anaachia...anang' ata!" Pole sana Mkuu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom