Ananilizimisha ni sex nae

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habari wana jf ,jamani kuna issue imemtokea my friend ila kaniomba ushauri afanyaje nikaamua kuleta jamvini kabla cjampa ushauri.Ni hivi huyo rafiki yangu ana BF ambae walianza uhusiano ka miezi mitatu iliyopita lengo la mwanaume wasisex mpk aje kujitambulisha nyumbani lakini mwanzoni kaka alikubali ila kadri cku zinavyoenda kaka anamlazimisha wafanye deepkic then amu suck, kila wakikutana kaka anamkic ,na kumlazimisha amsuck...... ila dada akakataa coz anaenda kinyume na makubaliano.ss ii juzi anamlazimisha wa sex ndo alikua anaomba ushauri afanyaje?
 
Daah yaani mtu akishakuja home mnaona ndo ruksa kufanya nae mapenzi? Kwani mtu kuja home ndo guarantee ya nini?
Mapenzi sio kutambulishana tu,
yaani hata siwaelewi kwa kweli,utakuja kuachwa vibaya wewe ohooo,hv suppose mwanaume amekuja kwenu kujitambulisha then ukampa tunda akasepa huoni utakuwa na wakati mgumu sana huko hme? Si nuksi unajitafutia.mapenzi yanajengwa na watu wawili wala hayana condition,mimi na uprofesa wangu kwenye fani sijawai kumpeleka mwanaume yeyote home
tunakutana kimjinimjini tunaachana kimjinimjini
upuuzi mtupuuuuuuuuu
 
Kwanin umtumie mtu mwingne wakati muhanga ni wewe mwenyewe??

Back to the topic

kama hakuni kitu kinamzuia au madhara atakayopata wakisex, ampe tu mwenzie anachokitaka,

SWALI: Wanaaminiana na wameshapima afya zao?

ANGALIZO: kwenda kwa wazazi hakumfanyi mtu kuwa +ve au -ve.
 
Mwambie asikilize moyo wake unamwambia nini.............. haya mambo ya chumbani unaweza kumshauri mtu, kumbe yeye anataka vinginevyo. Unaweza kumkataza asikubali kufanya Sex, baadae unakuja kugundua keshamegwa zamaani, sijui utajisikiaje?
 
hebu muwe mna google kwanza

anza na oral sex.....google hiyo.....
 
Hayo mahusiano ya tamthilia mazuri mno.
Waache wataelewana wewe mtu wa 3 watakushika ubaya bure.

Wewe huna BF?
 
habari wana jf ,jamani kuna issue imemtokea my friend ila kaniomba ushauri afanyaje nikaamua kuleta jamvini kabla cjampa ushauri.Ni hivi huyo rafiki yangu ana BF ambae walianza uhusiano ka miezi mitatu iliyopita lengo la mwanaume wasisex mpk aje kujitambulisha nyumbani lakini mwanzoni kaka alikubali ila kadri cku zinavyoenda kaka anamlazimisha wafanye deepkic then amu suck, kila wakikutana kaka anamkic ,na kumlazimisha amsuck...... ila dada akakataa coz anaenda kinyume na makubaliano.ss ii juzi anamlazimisha wa sex ndo alikua anaomba ushauri afanyaje?

anamlazimisha kusex wakiwa wapi, kwenye simu, chumbani, mtoko? ushauri anataka wa aina gani, wowote?
 
kweli eti ukitaka tunda kasalimie kwanza wazazi wake loh makubwa haya

Smile umenifurahisha sana, yap tunakutana kimjini mjini tunaachana kimjinimjini, mambo ya kupelekana home hadi tuone kama tuna match, mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia nani anataka, yameshapitwa na wakati, kizaz cha dot com imagine tumekutana savanah au bistro u save my no kwenye brackberry while I save urz kwenye I phone he he he yaani full kisasa, next date fun city au paradise by then tukifika salaam tunaanza na romance kabla hata ya kutongazana, huyu dogo wa wap? Haya ndo madhala ya kutozaliwa mjini he he he am jokin wadau,
 
mbona mambo ya kale sana haya. Roho inataka lakini akili inantuma eti ajitambulishe. Hana msimamo wala hajui anatakaje!
 
smile umenifurahisha sana, yap tunakutana kimjini mjini tunaachana kimjinimjini, mambo ya kupelekana home hadi tuone kama tuna match, mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia nani anataka, yameshapitwa na wakati, kizaz cha dot com imagine tumekutana savanah au bistro u save my no kwenye brackberry while i save urz kwenye i phone he he he yaani full kisasa, next date fun city au paradise by then tukifika salaam tunaanza na romance kabla hata ya kutongazana, huyu dogo wa wap? Haya ndo madhala ya kutozaliwa mjini he he he am jokin wadau,
amenishangaza sana huyu dogo
 
Dah!kaaaz kweli kweli,cna la kusema labda ungetuambia km huyo bidada ni bikira au vp!na niya ukweli au magumashi anataka kumwibia jamaa!
 
Hawa kwanza wamesha potea kutokana na maelezo. Sex waesha fanya na wanataka kuleta mbwembwe.

Kutambulisha nyumbani sio issue, labda wangesema hadi waoane hawata fanya chochote zaidi kupanga maisha yao ya ndoa ningeona kweli wana jambo la maana.

Pia

sipingani na hao wanao sema ni kizazi cha dotcom, lakini kama mtu akiweza kusubiri na afanye hivyo. Lakini inakua ni upuuzi kukata kuonjesha wakati ulisha onjesha rungo la watu kabla.

Tuache unafiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom