Ananichukia wakati anamchumba

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Wakuu, ilitokea nimefahamiana na dada mmoja, na tukawa marafiki wazuri, ila sikuwahi kumwambia chochote kama uchumba. Baadae nikawa mbali naye kidogo, kilicho nishangaza ni majibu ya mkato, fyongo, no explanation, kitu ambacho hakikuwepo mara ya kwanza.

Alisha niambia ana mchumba, sasa nashangaa kwa nini ananichukia wakati mchumba anaye?

Naomba msaada kwa wenye uzoefu.
 
Kuambiwa ana mchumba sio lazima iwe kweli
yawezekana alikuwa anajipandisha chati ili upande bei

too much hate is love

hakuchukii,amekukasirikia kwa kushindwa kumsoma game lake

kwa ufupi wewe umeshindwa kwenda na beat lol
 
pole, na-bold tu

too much hate ni love
ukiona watu wanachukiana lakini wanakimbizana kila siku wapishe wakimbilie chumbani.
 
Kuambiwa ana mchumba sio lazima iwe kweli
yawezekana alikuwa anajipandisha chati ili upande bei

too much hate is love

hakuchukii,amekukasirikia kwa kushindwa kumsoma game lake

kwa ufupi wewe umeshindwa kwenda na beat lol

Je unanishauri ni nifanye
 
Kwani wewe unataka explanation kama nani? Ama unampenda? Kama unampenda muambie. Otherwise hayo majibu ya mkato ama no.explanation inawezekana kuna mtu anamuweka busy ndo maana hataki usumbufu kiviile. Mjini hapa, siku hizi tumejifunza kutopandiaha vioo manake hakuna guarantee wanaume wenyewe hamsomeki.
Je unanishauri ni nifanye
 
Kuambiwa ana mchumba sio lazima iwe kweli
yawezekana alikuwa anajipandisha chati ili upande bei

too much hate is love

hakuchukii,amekukasirikia kwa kushindwa kumsoma game lake

kwa ufupi wewe umeshindwa kwenda na beat lol

Kashindwa kuusoma mchezo, LOL!
 
Back
Top Bottom