Ananiambia ana hamu na mimi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,620
154,964
Kuna msichana nilikuw ana mahusiano naye kwa kipindi cha kama mwaka mmoja.
Kutokana na kushindwana tabia tukaachana mwezi wa kwanza. Sasa amepata habari kuwa nina mwanamke mwingine amekuwa akinipigia simu mara kwa mara kuwa ana hamu na mie, eti niende kwake nikamkamilishie harara zinanzomsumbua.
KAMA SI KUNITEGA NA KUTAKA KUNIHARIBIA PENZI LANGU NI NINI ANACHOKITAKA KWANGU?
 
Ulaji huo bujibuji changamkia tender!!!!!!!!!!
 
lakini mbona ni kawaida................ ni kawaida kama hakuachana kupitia kituo cha polisi ama ICU...............
 
pearl sayz:

ah ah ah uncle buji mwambie golden chance neva come twice alichezea bahati huyo mwambie hana lake tena amelamba dumeee
 
kuna msichana nilikuw ana mahusiano naye kwa kipindi cha kama mwaka mmoja.
Kutokana na kushindwana tabia tukaachana mwezi wa kwanza. Sasa amepata habari kuwa nina mwanamke mwingine amekuwa akinipigia simu mara kwa mara kuwa ana hamu na mie, eti niende kwake nikamkamilishie harara zinanzomsumbua.
Kama si kunitega na kutaka kuniharibia penzi langu ni nini anachokitaka kwangu?
achana nae,anahiataji kukuharibia
 
Kuna msichana nilikuw ana mahusiano naye kwa kipindi cha kama mwaka mmoja.
Kutokana na kushindwana tabia tukaachana mwezi wa kwanza. Sasa amepata habari kuwa nina mwanamke mwingine amekuwa akinipigia simu mara kwa mara kuwa ana hamu na mie, eti niende kwake nikamkamilishie harara zinanzomsumbua.
KAMA SI KUNITEGA NA KUTAKA KUNIHARIBIA PENZI LANGU NI NINI ANACHOKITAKA KWANGU?

...Una majibu yote Bujibuji, labda tu kama umetaka 'kuutua mzigo' ulokukaa kifuani.
 
Haina haja ya kuuliza bwana tumia akili za kuzaliwa hapo kaka, utaja lala kitandani miaka na miaka! ooh shauri yako!
 
Mpotezee Buji. Bahati mbaya imani inaweza kukuingia ukaamua kumkubalia kumbe kakuwekea mtego akuharibie kwa umpendae ukajikuta kote umeharibu,sijui utamlilia nani. Achana nae,nafasi hiyo aliipoteza mwenyewe.
 
Mr. bado unajishauri? aisee huyo bado anakumbuka dozi ulizompa , mpe nyingige ili hata miaka mia asikusahau!
 
nimeshakula kiapo cha kumkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yote, na raha zake zote na milki zake zote.
Nimejitoa kikamilifu kuwa mwaminifu kwa msichana wangu.

Huyu uliyenaye sasa ni mkeo? kama sio hizi ngonjera za kumkataa shetani ni kama nyimbo za taarabu kule uswazi!

Weye nenda kamege; and no holds bared!
 
Back
Top Bottom