Anamiliki gari la thamani na sufuria mbili chakavu

Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
So why are you telling us?
 
Kwani kwenye gari si kuna masofa. Kununua na ya sebuleni kunaitwa, 'Duplication of physical assets' na hiki kitu hakishauriwi kwenye finance...
 
Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
Kumbuka huyo ni mwanaume awe na sufuria asiwe nayo Sawa tofaut na mwanamke, mwanaume sipotandika kitanda hachekwi ila mwanamke utaambiwa mchafu
 
Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
Sio ajabu mwanamke kununua vyombo vya ndani kwa mpenzi wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom