Analysis: Serikali ya Tanzania ni 'Serikali Hewa'

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kuongozwa kwa Kunyimwa Haki ya Kujua Uendeshaji na Maamuzi Yanayohusu Serikali Yako

Tukizungumzia serikali ya Tanzania ni kama sectors za matumizi na hakuna issues zozote relevant katika maisha ya kila siku ya Mtanzania. Kama wengi wanavyochangia kuhusu wizara ya utalii na mali asili (wizi wa wanyama), wizara ya nishati ya madini nayo ni wizi kila mahali. Kitu kinasikitisha ni vipi wananchi wapo behind this government?

Democratic environment create opportunity to build the country. Tuna mifano mingi duniani jinsi gani democracy zimejenga uchumi za inchi nyingi na hasa demokrasia inaleta maendeleo ya uchumi na nchi kiujumla i.e. UK, US, Japan, South Korea, Brazil, Ghana, Botswana. Ukiangalia na kuchunguza hii nchi yetu ya Tanzania ni masikitiko tupu. Makundi ya wananchi wanakaa chini na ku-discuss jinsi ya ku-screw up nchi na wananchi wake, tuangalie mifano ya dowans (loss mabillions of Tshiliings i.e lawyers and chiz deals), expenses za raisi kusafiri kila kona ya dunia bila kazi maalumu.

Wananchi kila mkoa, wilaya na vijiji hawana imani na hii serikali. Nani anataka kuongozwa na kikwete baada ya vitendo vya kudanganya uchaguzi? nani anataka serikali ya kulipa posho kwa bunge kama hongo? nani anataka serikali ya kutenga fedha na kutengeneza account za fake kila siku ili kuficha wananchi? Nani anataka kuongozwa na serikali ya kutenga mamillioni ili raisi (vasco dagama) asafiri kila mahali kujificha ili wananchi wasijue deals zake? Nani anataka inchi kuwa na matajiri wanasiasa na kutokuwa responsible kwa wananchi i.e. kujilipa mishahara na kuishi maisha bora zaidi ya wananchi. Bado serikali inaendela kujitetea kuna katiba Tanzania na kuna vyombo vya usalama, upelelezi na mahakama Tanzania, utelejensia uliopo ni network ya wizi na injustice i.e. angalia usalama wa taifa unavtofanya kazi ya kufuatilia cdm na viongozi wake badala ya wafujaji wa richmond, dowans, epa, wezi wa wanyama. Simply Tanzania hakuna katiba wala sheria, just fools wanakukubali ....

Ukiuliza maswali serikali hiyo hiyo ya kwako unanyimwa majibu i.e. nani ame-sign mkataba na serikali ya Tanzania Tanesco, TPDC, Sukari, Land? Nani kuleta dowans Tanzania? Nani anamiliki makampuni yenye mikataba na serikali, jibu unalopata toka huko kwa watu wa kikwete ni hii 'andika ombi na tutafikiria kukujibu' Hii serikali ipo madarakani kwa idhini ya nani? Kitu kingine cha kushtusha ni kwamba hakuna wananchi wengi wanafanya kazi serikalini wapo tayari kusema ukweli na kulinda taifa lao. This is one of those bull ..... na must end. funny line ni kwamba mtoto wa kikkwete, ridhiwan ndio anafanya anachotaka humu inchini mwetu, what a shame!

My summary is this 'kikwete anaongoza upepo sio watu'
 
Wel written mkuu,ila ningependa kusikia maoni yako ni nini au ni hatua gani zichukuliwe na wapi pa kuanzia katika kumkataa na kumpinga mkoroni mweusi.
 
Wel written mkuu,ila ningependa kusikia maoni yako ni nini au ni hatua gani zichukuliwe na wapi pa kuanzia katika kumkataa na kumpinga mkoroni mweusi.
Umepewa analysis ya mtoa hoja, bado unataka na maoni yake!!!
hii ndo shida ya watanzania!!!
maoni yake yapo ndani ya analysis yake kuhusu uendeshwaji wa serikali dhalimu!!

Stuka!!
 
sijaisoma habari yako yote lakini nikuulize tu kwani kipato cha mwananchi wakawaida kikweji huko Ghana ukiunganisha na hiyo democracy unayoongelea? Naamini hata hiyo democracy unayoongelea ni kwa sababu tu Atamil kutoka upinzani alishinda. Do I stand right?
 
mkuu hapo uko sawa,mi niko kwenye pool ya mining, tume zetu zimeenda nchi tofauti kujifunza jinsi mikataba ya madini ilivyo, wenzetu Ghana wameanza muda mrefu na tuko nao kwenye hizi minning za tanzania wanasema kwao mikataba yao hairuhusu tena kuingiza machine kubwa kwa ajili ya kumine ili kuongeza miaka mingi ya ajira na pamoja na thamani kupanda bei waweze kuifaidi, tume zetu zinaenda kutembea na kutumia kodi za watanzania hawaji na mtazamo chanya, nimeshuhudia migodi ukiwepo GGM Ukiingiza mitambo mikubwa kuongeza speed ya uchimbaji. terrible....! tutakoposhtuka thamani halisi ya madini yetu tutakuwa tumebaki na mashimo.
 
Mbona nyie watu mpo nyuma sana kimtazamo wenu? Hamjui kuwa wakati wa Ujamaa umekwisha? Wakati wa kungoja Serikali iwafanyie kila kitu, umepitwa na wakati. Sasa hivi tupo katika ubepari. Unachotakiwa ni wewe ufanye na kuuza kwa Serikali na kwa wenzako. Msiwe bado na mawazo finyu ya kizamani.
 
Umepewa analysis ya mtoa hoja, bado unataka na maoni yake!!!
hii ndo shida ya watanzania!!!
maoni yake yapo ndani ya analysis yake kuhusu uendeshwaji wa serikali dhalimu!!

Stuka!!

Lawama zooote huwa natupa kwa edication system yetu!! Imeua uwezo wa kufikiria nje ya box...

Jumapili njema, wengine ndo tunaamka twende church!!!
 
Mbona nyie watui mpo nyuma sana kimtazamo wenu? Hamjui kuwa wakati wa Ujamaa umekwisha? Wakati wa kungoja Serikali iwafanyie kila kitu, umepitwa na wakati. Sasa hivi tupo katika ubepari. Unachotakiwa ni wewe ufanye na kuuza kwa Serikali na kwa wenzako. Msiwe bado na mawazo finyu ya kizamani.
<br />
<br />
Kuuza nini? Hvi ww ushawahi kusikia mtanzania mzalendo anapewa tenda ya deals kubwakubwa kama za uchimbaji madini? Jiulize na ujijibu kabla ya kukurupuka kuandika!
 
Wazalendo wengi sana wanachimba madini. Na katika kuchimba madini hakuna tenda. Naomba ulielewe hilo. Unatafuta kitalu unakwenda kuchimba.

Nilikuwa Chunya wakati fulani, hata watoto wa shule wakati wa mapumzikoi wanaenda kuchimba dhahabu.

Usiwe na fikra finyu kuuuliza kuuza nini? Katika mfumo kibepari kila kitu ni biashara, ashaakuim si matusi, hata mavi ni biashara, wewe unaenda kuyahifadhi kwenye shimo, mwenzako anakuja na gari la kuyavuta, unamlipa anayanyonya anakwenda kuuza mbele kama mbolea.

Kuhusu madini usiseme kuwa hakuna mzalendo anaefaidika. Sijui kama umeshawahi kuwasikia akina Mrema? Suio huyu wa TLP. Mrema wa Tanzanite? Na wengine wengi tu. Hawakukaa kulalamika JF, wanachimba hata kwa sururu tu lakini baaae wanakuwa na vifaa. Wacha!
 
sijaisoma habari yako yote lakini nikuulize tu kwani kipato cha mwananchi wakawaida kikweji huko Ghana ukiunganisha na hiyo democracy unayoongelea? Naamini hata hiyo democracy unayoongelea ni kwa sababu tu Atamil kutoka upinzani alishinda. Do I stand right?

Kwani wanasiasa wa Ghana wanaishi maisha ya namna gani? Wanatumia Mashangingi ya Mil 280, mishahara na mafao yao yakoje, wanapanda businesss class, wana vimada na watoto wa nje ya ndoa kama kina JK, watoto wao wanaishi vp, wanafata sheria (hawana bima za kufoji), wanaendelea kushikilia nafasi zao huku wakiwa na kashfa za rushwa na ubadhilifu wa mali za uma?
 
Nchi inaenda poa 2 jaman mtaka nn zaidi....uchaguzi umemalizika mwaka jana tu mkabebwa kwenye marol mkashangilia wenzenu kupata ulaji ndo msubil ss fix zingne 2015 wabongo c mnapenda sana kudanganywa watu wanaosema ukwel kama akina nanii....wanaambiwa wanahatarisha aman na utuliv wa nchi.mm cwaonei huruma hata kidogo mnavuna mlicho panda...in short hii sio serikali HEWA NI HARALI KABSA KWA SABABU NDIO TULIOICHAGUA NA WAJIBU WE2 KUHESHM VIONGOZ WAKO....najua walioweng hawapend kusikia but ndo ukwel uchaguz umeisha 2subil another round period!
 
Mbona nyie watu mpo nyuma sana kimtazamo wenu? Hamjui kuwa wakati wa Ujamaa umekwisha? Wakati wa kungoja Serikali iwafanyie kila kitu, umepitwa na wakati. Sasa hivi tupo katika ubepari. Unachotakiwa ni wewe ufanye na kuuza kwa Serikali na kwa wenzako. Msiwe bado na mawazo finyu ya kizamani.
<br />
<br /> Lakini bado siasa yetu (CCM) ni ya UJAMAA na kujitegemea.......sijasikia wakiikana
 
Si siri kuna wanaccm au tuwaite wazembe kufanya research wenyewe hata kama wanajua jinsi ya ku-type kwenye keyboards. Kitu gani kina mfanya binadamu yeyote kutofanya his homework? The point behind people like this is this, makada mtatumia mpaka lini kuwa watumwa mwa hii serikali?. Let me continue ku-respond juu ya comparison Tanzania na Ghana. Utakapo soma hii article jiulize maswali yafuatayo: why Ghana election comission is independent from government? why Ghana doesn't have fraud election like Tanzania? Why political parties are free and resonant to their people than in Tanzania? Endeleeni kuwa foolish kama watoto wa Gadaffi ...

Ghana: Africa's Rising Star
A peaceful and well-conducted national election bodes well for democracy in Ghana and the rest of Africa

Elections are intensely public events in Africa in a way that they rarely are in the U.S. (except, perhaps, the street celebrations in several American cities following Obama's recent victory). Take Ghana's December 7 presidential contest: Because few Ghanaians have TVs in their homes, large groups gathered to wait for results around radios and televisions, or, more often, outside the polling stations where votes were being counted. Pictures published last week by the BBC reminded me of the clogged streets that I walked through on the country's 50th birthday in March 2007, when boys in full-body paint in the design of the Ghanaian flag danced in the streets. Last week, men with party slogans on their chests did the same. Such crowds help explain some of the anxiety about electoral violence in Africa, but those in Ghana have been peaceful.
The presidential race on December 7 was so close that it is, in fact, not yet over. Since neither of the two leading presidential candidates won more than 50 percent of the vote (six other candidates also competed), the electoral commission will hold a run-off Dec. 28 between the ruling New Patriotic Party's Nana Akufo-Addo, who won 49.3 percent of the vote, and John Atta Mills of the opposition party, National Democratic Congress, who took 47.8 percent. But the clean, credible, and peaceful nature of this election may be more important than the winner, and it bodes well for Ghana and the continent as a whole.
Online media reports from Ghana on election day would sound rather familiar to American voters: Ghanaians stood patiently in long lines, exit polls were too close to call, and people waited anxiously for results to come in. In fact in many ways Ghana's political culture is healthier than America's. A regional observer group estimated voter turnout this year at 70 percent. Dozens of radio stations and independent newspapers create a diverse and lively media environment, and average Ghanaians are quite vocal about politics. During the tumultuous Nigerian election in April 2007, I was studying at a small college in Accra, and endured political harangues from my fellow students, taxi drivers, and the occasional passerby.
Ghana lacks many of the problems that keep other African countries in the international news. Though certain Ghanaian politicians occasionally appeal to ethnic identity, ethnicity and political constituencies are not fused the way they are in countries like Kenya and Nigeria that have seen such violent bouts of electoral conflict. In a phenomenon known as "skirt and blouse" voting, some regions voted against candidates of their own ethnicity this year. Until recently Ghana has also avoided the high-stakes politics of oil &#8211; one iteration of the "resource curse" that afflicts parts of the continent. But many Ghanaians and outside observers have worried that the discovery of oil off the west coast last year would raise the stakes of this year's election and increase the incentive to cheat or incite violence. The new administration will get to decide how to spend oil revenues which may materialize as early as 2010. So it is encouraging that things have gone as smoothly as they have so far.
With the departure of two-term President John Kufuor, this election marks the second time that power at the national level has changed hands democratically (the first was eight years ago when Kufuor and the NPP defeated the would-be successor of dictator-turned-democrat Lt. Jerry Rawlings). Some political science scholars consider this event the defining threshold for "democratic consolidation," or the point at which all stakeholders accept democratic methods as the only legitimate path to power.
This is good news for Ghana, of course, but also for the rest of Africa. Ghana has been a poster country for stability and economic growth for several years, and the commendable handling of this high-stakes, high-profile election reinforces that image. This success story of African democracy stands in contrast to the string of deeply flawed elections in Nigeria, Kenya and Zimbabwe, and it could prompt an influx of aid and investment to other African countries. The existence of a stable Anglophone country (i.e. a potential ally) in an oil-rich and volatile region is also a clear plus for the United States, which, judging from the size of the new American embassy complex that I saw under construction in Accra, recognizes its strategic importance.
Of course, violence following the December 28 run-off could undo this election's stabilizing effect, but I'm hopeful that this won't happen. NDC supporters, who make up the majority in some of Accra's biggest slums, are probably the group more likely to riot if their candidate loses; their party, however, won a narrow majority in parliament, which may temper the disappointment. Regardless of who wins, the closely divided parliament will be a challenge to the new president. For one thing, it means that both parties will have some say over the spending of any newfound oil revenues, a decision process that may ultimately provide the sternest test to date of Ghana's democracy and the hopes that it embodies for Africa's future.
http://www.theatlantic.com/magazine/archive/2008/12/ghana-africa-apos-s-rising-star/7196/


sijaisoma habari yako yote lakini nikuulize tu kwani kipato cha mwananchi wakawaida kikweji huko Ghana ukiunganisha na hiyo democracy unayoongelea? Naamini hata hiyo democracy unayoongelea ni kwa sababu tu Atamil kutoka upinzani alishinda. Do I stand right?
 
Back
Top Bottom