mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
We piga domo tu hadi uchoke! but time will tell, maana hata enzi ya Hitler kulikuwa na watu waliokuwa wakimsapoti kama wewe.Pro-CDM wanajidanganya sana, uwezi kufananisha mgogoro wa Libya na Tanzania.
Bahati mbaya Tanzania hamna chama cha siasa kinachoweza kuwauganisha wa Tanzania wote, kuna chama cha siasa cha CDM ndio kina bahati ya kuwaunganisha Wachagga wote Tanzania, sasa Wachagga wote wajikusanye na CMD yao na waombe msaada kutoka Nato na Marekani, wanaweza kushinda sehemu mbili tu Kilimanjaro na Arusha Tanzania nzima.
Angalia mifano Misri, Tunisia, Libya, Syria, Yemeni, hakuna vyama vyovyote vya siasa vinavyopambana ni Wananchi wenyewe ndio wameungana kupambana na serikali zao.
Sasa CDM kwa hiyo kinakosa sifa sababu hakina muundo wa kiutaifa, kina muundo wa Kidini na Kikabila
Huko Tunisia,Egypti,Zambia,Kenya,Malawi na sasa Libya kuna watu kama wewe ambao wanabishana na upepo wa mabadiliko na
hawataki kuangalia alama za nyakati....lakini mwisho wa siku umma ulishinda na sasa hawaamini macho yao wamebaki na aibu.
Nakuombea maisha marefu ili uje kushuhudia siku ambayo ccm inang'olewa madarakani. Time will tell