jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Nilifikiri kabla ya kujiunga na JF na kuchangia hoja, utapima kwanza uwezo wako wa kuchambua hoja husika kabla hujakurupuka.Wengi wa Premium members wana busara hiyo ni kweli,lakini siyo lazima iwe hivyo.Sana sana wengi wetu, tuna uzoefu zaidi wa kujuwa yapi mchele yapi chuya.Uzoefu wetu ni dhahabu humu kwani tumesikia na kuona mengi,at least "hojawsie."Unadai nimeshindwa kutofautisha matatizo ya Libya na Tanzania.Nadhani wewe ndiyo umeshindwa kufanya hivyo kwa kudai kuwa eti mtamwondoa JK simply kwakuwa Gaddafi ameondolewa.Mimi nasema hiyo ni nonsense.Nyie wengine hamtumii muda kusoma na kudigest kile mlichokisoma.Na mkifanya hivyo huku wengi wakiwa na mwelekeo wa chuki za kidini na kikabila basi hamtafanikiwa hata ku win hearts za wale walio kwenye nafasi ya ku deflect.Humu tulikuwa tunapata data sana kutoka ndani humo.FeedBack said:jmushi1
Nilikuwa nafikiri mtu ukiwa Premium member unakuwa na busara, umeshindwa kabisa kutofautisha matatizo ya Tanzania na Libya.
Unadai hatuna ukabila na kuna watu humu wana mdescribe JK kwa yale anayaofanya na kuyalingansiha na ukweree?Ama unataka sababu gani nyingine ambazo zinaweza kutumika against our mission here in JF?Mnakata tawi mlilolikalia.Members waliokuwemo humu toka kitambo wasingeweza kwenda low kama wengi wenu mnavyofanya.Nimesema kama mkisaidiwa na hao wazungu,basi ujuwe vita ya ukabila na dini haitaepukwa.Jifunze kwanza kutambua wanachokitaka kutoka kwetu hao western countries.Na kwa taarifa yako wao ndiyo wanapenda hayo matabaka yashamiri zaidi ili waweze kutunyonya vizuri zadi.Iraki sasa ni Shia VS Sunni.Hata mafuta hayalisadii Taifa zima kama ilivyokuwa before.Utashangazwa na wananchi kuweka foleni ya mafuta kwenye nchi ambayo ni ya pili kwa mafuta duniani.Tumia akili.Hakuna mwenye ku sympathise na oppression kama mnavyodai.Ni maslahi yao kwanza.Kitu cha kwanza Tanzania hatuna ukabila ila tuna matatizo ya kiuchumi, matatizo ya Libya si uchumi kama sisi ni 'oppression', matabaka 'classes' na huo ukabila, pili usifikiri kwa vile Libya wamemtoa Gaddafi kwa ukabila kwa hiyo na Kikwete naye atatolewa kwa ukabila la hasha, na kuitwa mkwe re au mpemba si ukabila ndugu yangu. Usituambie Misri nako walimtoa kwa ukabila, je Irak nako ni ukabila.
Nyinyi ndo mnajidanganya kwasababu mnapiga soga tu humu na hakuna hatua mnayoichukua.Nina wasi wasi sana na kiwango cha elimu cha Tanzania.Sasa nyinyi hata mkipewa nchi mtaharibu zadi.Kwa Tanzania kitakachofanya JK awe katika wakati mgumu au hata kuondolewa si kabila lake ni uchumi maisha ya wananchi kuendelea kuwa magumu huku wakiambiwa statistics zinaonyesha uchumi wa Tanzania unakua, hilo ndilo tatizo kubwa litakalomwangusha na sio kwa wana JF kumuita mkwe re, kama uko karibu naye mwambie hivyo vinginevyo ni sawa na kumdanganya mfalme umevaa nguo kumbe yuko uchi.
Kama ni kweli sababu ni uchumi mnaotaka mumwondowe JK for,then ndiyo maana nikasema wenzenu wa Libya hawakuwa na matatizo ya kiuchumi.Ni more likely kuna wanaotaka kula kwasababu tu wanaamini Gaddafi kala vya kutosha,wenye chuki za kikabila tu.Nilitangulia kusema huko nyuma kuwa hata kama sababu zetu si ukabila.Lakini wengi wenu mnavyochangia humu mna mwelekeo kwamba anayafanya mambo hayo kwasababu ni mkweree.Hilo linawapa wengine goose bumps.
Pia soma kwa makini,nilishasema kuwa hakuna mzungu atakayekuja kuwasaidia simply kwasababu maisha ni magumu.Jaribuni mapinduzi muuwawe muone kama watakuja.I can bet you hawatokuja kama hawana maslahi.Na kwa hali ilivyo,they got everything they want from you ie diamonds,gold etc,sasa wamwondowe kwa lipi na ili iweje?Kumwondoa JK itakuwa against their national Interests.Think!
Mngesema kuwa na sisi tuna sababu ya kumwondoa kwasababu maisha ni magumu due to ufisadi etc,ok,thats fine...halafu mkaandamana kutaka kumtoa mdarakani.That is still fine.Then wanajeshi wake wakawalima risasi.Unadhani watakuja kuwatetea?Tulipiga kelele humu kuhusu ufisadi na Balali alipokuja huku.Matokeo yake wala usitake kuyajuwa.
Nakushauri unapopata muda utembelee threads za zamani humu zitakuweka kwenye msitari wa kuelewa mambo zaidi.
JF ni elimu tosha sana na inafunika ile ya Kata FYI.Trust me.