Analysis: End of Gadaffi, Reasons for Fear Kikwete, Mugabe, Museveni...

Feedback,ulichoandika hapo kina tofauti gani na kile nilichosema wakati najenga hoja yangu?Nani kasema nawapenda hao magaidi wa NATO ama kuwa ninafikiria wanatupenda?Nisome again.

BTW thats exactly what i was saying.Kwamba hawatupendi kihivyo.Walisema sababu ni wananchi wa Libya wasiuwawe ndiyo maana wameenda huko.Jaribuni na nyie mwone kama mkiuwawa watakuja kuwalinda.Maslahi yao yako zaidi kwa viongozi wenye kuwatumikia na hizo rasimali.thats what i said.Haijalishi kama kiongozi ni dictator ama la,kinachojalisha ni kama wanafanya nao biashara isiyolinufaisha taifa lengwa.Interests zao kwanza.
U get it?
Ndio maana unaambiwa huwa hueleweki, nimekupa mifano ya kina Sadaam, Savimbi kama maslahi yao yalikuwa kwa viongozi mbona waliwanyonga.

Kwenye bold(black) sina haja ya kuchangia coz unajieleza mwenyewe,
kwenye red..kumbe unaandika kuwa utamtetea Kikwete si kwa mazuri yake anayofanya bali ni kwa kuogopa usalama wa taifa basi hufai kabisa kuwa front line. Wengine tunaliita beleshi kwa jila lake si kijiko kikubwa kama Kikwete na kina Museven na Mugabe ni wababe tunawasema kwa sifa zao za udikteta na si vinginevyo, lakini sioni ajabu kwa woga wako sababu hata leo nimeona pro-Gaddafi bado wanamwita Gaddafi mtukufu na kumwinamia wanasema watafia kwenye kidonda kama nzi.
Ukiona hunielewe ujuwe uwezo wako wa kuikiri ni level ya chini sana.
Niliposema kuhusu usalama wa Taifa haina maana ninawaogopa.Lakini wakisema ngoja twende huko JF wakakuta wapuuzi wanaandika mkweree this mkweree that unadhani hawataogopa kuwa sababu ya kutaka kumwondoa ni ukabila?Hata kama ingekuwa mimi nisingekubali hayo yawe msingi wa kumwondoa madarakani.Jengeni hoja achaneni na maneno ya kipuuzi yenye kulazimishia bila hoja!

Wewe unayejiita feedback uko frontline gani?Unachekesha na kutia huruma.Hizi ni mbio zenu za sakafuni.Badilisheni strategy.Na unatumia fake name na kudai eti uko frontline.Nyoo!

Hata kadafi waasi alikuwa anawaita rats lakini angalia sasa rats wanachofanya saif al islam tayari kwisha habari yake na the big man kadafi ni just a matter of hours if not days kabla rats hawajamtafuna miguu kwa kumsweka lupango awajibike kwa makosa yake kule kwa ocampo

Ndio maana unaambiwa huwa hueleweki, nimekupa mifano ya kina Sadaam, Savimbi kama maslahi yao yalikuwa kwa viongozi mbona waliwanyonga.
Nina wasiwasi sana na uwezo wako wa kufikiri.Kaa chini kwanza ujiulize pointi yako haswa ni ipi,na pia uzingatie mada husika.
Pamoja na kwamba simfagilii Saddam kama vile ambavo siufagilii utawala wetu.Bado kama Saddama angemwachia Bush mafuta angekuwa hai.Sasa nieleze kama kweli walimwodoa Saddam kwa sababu wana mapenzi na wananchi wa Iraki.Hiyo ni just a coincidence.Usidhani kwamba wakija kuwasaidia kumwondoa JK ni kwasababu yenu ninyi wananchi na matatizo yenu ie ufisadi.Usijidanganye.Fanyeni mapinduzi wenyewe kama mnataka kuwa huru.Sana sana hawa mafisadi wetu washauza nchi na hao wazungu hawana haja ya ku mfight.For what?

tumia ingalao shingo kufikiri kuliko hayo MASUBIRI
nani anamchukia JK kwa sababu ya kabila lake??????????????? kabila lina functional role gani katika utawala wa JK??????????
Hata kama hamumchukii kwasababu hiyo,strategy ya kumlaumu huku mkimwita Mkweree inaonyesha dharau dhidi ya kabila hilo.Huo ni ukweli.Na vita ikianza,wengine wakipita humu wakakuta wapuuzi kama nyie mnatumia lugha hizi basi mapinduzi yataharibika na wao ni rahisi sana ku conclude kwamba chuki ni ya kikabila.Nyie mmetuharibia jamvi,humu tulikuwa tunakwenda kwa hoja na si kupingana kwa matusi ya kikabila wa kidini.Si lazima mtumie matusi pale mtu anapopinga hoja.Jibuni hoja kwa hoja msituharibie jamvi nyie makinda wapumbavu.

Punguza jaziba ndugu, andika taaaaraaatiiibu ueleweke. Haya unamlilia kadafi, huyo kwisha khabari yake yakhee, kuna moja tu kati ya haya litakalompata

1. Kufa kwa risasi za waasi
2. Kujiua kwa aibu
3. Kuikimbia nchi na kuishi ughaibuni (sijui tanzania ama kokote atakapopata wa kumhurumia)
4. Kwa baba ocampo kule akapige story na kina mladic na bemba

Ebwanaee mimi naililia afrika si gadaffi. ndio maana wabongo wachache wanafidi nchi kumbe wengi wako gizani. haya bwana we furahia jamaa atoke halafu after one year nitakutafuta unieleze kilichopo Libya.

Nyie na wapumbavu Everything mnataja kabila la mtu.Hoovyo!

Sasa kama ni matusi wewe ndio bingwa wa kuyatumia.

Pili mimi si-discuss ishu za ukabila kamwe,

Na tatu me focus yangu bado ni mwenendo wa mambo huko kwa kaka na pan africanist kadafi. Najua inauma kama wewe ni pro kadafi. Lakini kubali kuwa muda wake kuongoza ndio hivyo uko ukingoni kama ilivokua kwa sadam husein.

Na mwisho kwani nisipoelewa hoja zako na nikasema hivyo ni kosa hilo hadi unitukane?

well narudia tena sielewi hoja zako

Ebwanaee mimi naililia afrika si gadaffi. ndio maana wabongo wachache wanafidi nchi kumbe wengi wako gizani. haya bwana we furahia jamaa atoke halafu after one year nitakutafuta unieleze kilichopo Libya.
Kumbe kuna waelewa humu?Shukrani.Niko kwenye mpango wa kuyatambua makapi.Sijui ni kata hawa ama vipi?Toka nimejiunga JF nimeshuhudia vitu vya ajabu sana kutoka kwa members wapya.Sijui ni graduates ama ni vitu gani hawa.Watupu kweli kweli.Washukuru cellphone everywhere nowdays otherwise hawakutakiwa kuchangia humu.

Sasa kama ni matusi wewe ndio bingwa wa kuyatumia.

Pili mimi si-discuss ishu za ukabila kamwe,

Na tatu me focus yangu bado ni mwenendo wa mambo huko kwa kaka na pan africanist kadafi. Najua inauma kama wewe ni pro kadafi. Lakini kubali kuwa muda wake kuongoza ndio hivyo uko ukingoni kama ilivokua kwa sadam husein.

Na mwisho kwani nisipoelewa hoja zako na nikasema hivyo ni kosa hilo hadi unitukane?

well narudia tena sielewi hoja zako
Kama huelewi unazijibu za nini we mpumbavu?Nani alijibu posti ya nani to begin with?Mimi siyo pro Gaddafi.Mimi ni pro Afrika.Take your time tembelea humu JF utakutana na misimamo ya watu.
Nimekwambia fanya reseach uone kama issue ya Gaddafi si ukabila ambao western nations wametake advantage of,yani ya divide and rule.Huna haja ya kujibu hii...

Ebwanaee mimi naililia afrika si gadaffi. ndio maana wabongo wachache wanafidi nchi kumbe wengi wako gizani. haya bwana we furahia jamaa atoke halafu after one year nitakutafuta unieleze kilichopo Libya.

Kubadili tu utawala wake uliokuwa wa kifamilia zaidi nadhani ni achievement kubwa. Yaani saif by virtue ya kuwa son of kadafi anapata right ya kuwa top govt official. Hapana acha waondoke

Kama huelewi unazijibu za nini we mpumbavu?Nani alijibu posti ya nani to begin with?...

Hii si ni forum kwa ajili ya wote? Nina haki ya kujibu post ya yeyote yule, ila kwa kuwa hautaki nijibu post zako basi isiwe ugomvi nimeacha...sijibu tena

Ngoja na wewe uendelee kupigwa viboko vya umaskini mpaka akili zako zicheze. Unasoma news huko UK, US serikali zao zina madeni makubwa kama nini. Shida ya watu wasio soma na kufanya research mtaendelea kukurupuka na kusema lolote lile. Unafikiri hiyo mikopo ya IMF na World Bank kikwete na mafisadi wanakula sio pesa za wananchi wao huko UK na US. Right now na wao wameshachoka na hakuna faida yeyote kuendelea kutoa mikopo ya hasara ambayo baada ya miaka ishirini mnaomba misamaha hamwezi kulipa .... huu ni wakati na hizi serikali za UK na US wakiona movement ya wananchi na wao watafunga tela kuwa-suport (cheap kuwaondoa kikwete this way).

Sio kila wakati mkimbilie hoja za mafuta tu, the world is run in financial terms na sio rahisi hivyo. Waulize US kama wananufaika lolote Egypt (collapse of Mubarak), walikuwa hawana choice bali kuwaunga mkono Wamisri. Do your research mtanzania na acha kulala au nyie ndio wakina ridhiwan na january ....

ingawa unayosema huenda yakawa na ukweli, lakini aliyosema Counterpunch ni kweli kabisa -- kwamba Wazungu wa NATO na Marekani wameifungia Njuga Libya ni kwa sababu ya mafuta tu. Ni kama vile Iraq. Afghani ni tofauti -- ilikuwa ni kumsaka Osama na hivi wamemuuwa sasa wanatafuta kila njia kuondoka -- kwa heshima -- isije ikawa kama Vietnam mwaka 1975.

Ukweli mwingine ni kwamba nchi za magharibi zilipata uchungu mkubwa sana pale swahiba wao mkubwa katika eneo hilo -- Hosni Mubarak alipoondolewa kwa nguvu za wananchi, bila ya wao kusaidiwa na mataifa ya nje. Kadhalika Tunisia.

NATO walipata 'mandate' ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuingilia Libya kwa sababu eti askari wa Gaddafi alikuwa anauwa waandamanaji -- yaani raia! Polisi wa Mubarak walifanya hivyo hivyo -- waliuwa waandamanaji (raia) na shitaka moja katika kesi dhidi ya Mubarak sasa hivi ni kuuwa waandamanaji -- raia. Mbona hatukuona Wazungu wakitaka "mandate" ya Baraza la Usalama kutaka waingie Misri kulinda raia kama vile Libya?

Jamani hamuwezi kuona undumila kuwili hapo? Mbona hawafanyi hivyo kwa Syria, yaani kulinda raia wa nchi hiyo wanaouwawa kila leo na askari wa Al Assad? Au kwa Yemen -- ingawa sasa kidogo kumetulia huko? hata mtoto wa miaka kumi anaweza kuona kwamba hii haijakaa sawa kuhusu kujiingiza kwa Wazungu huko Libya.

Mbali na mafuta, kikubwa kinachotafutwa Libya na Wazungu ni contracts za kujenga upya miundominu iliyoharibiwa -- kwani watawala wapya watalazimishwa kuwapa contracts hizo kama shukurani -- kama vile ilivyokuwa kwa Irak. Hizi contracts zitasaidia sana kufufua uchumi wa nchi za magharibi unaoyumba sana. na kama vile ilivyokuwa kwa Irak, ambako makampuni yanayomilikwa na akina Rumsfeld, Condoleezza Rice na Dick Cheney, kwa Libya makampuni yatakayofaidika ni yale ya akina cameron, Berlusconi na Sarkozy.

Hii si ni forum kwa ajili ya wote? Nina haki ya kujibu post ya yeyote yule, ila kwa kuwa hautaki nijibu post zako basi isiwe ugomvi nimeacha...sijibu tena
Ujibu vipi vitu usivyoelewa?Si umesema huelewi ninayoandika?Sasa siyo ulunatic huu?Kama huelewi changayanya masaburi hakuna wa kuku baby sit humu.Unajuwa kama umejiunga kuchangia hoja ama kupoteza muda humu?Potezea kama huelewi.Mimi kama sielewi napotezea.Wewe una dai mimi pro Gaddafi ili kunikatisha tamaa ya kuchangia humu.Humu ni great thinkers.We look at both dimensions na si kulia lia.

Kubadili tu utawala wake uliokuwa wa kifamilia zaidi nadhani ni achievement kubwa. Yaani saif by virtue ya kuwa son of kadafi anapata right ya kuwa top govt official. Hapana acha waondoke

Nakubaliana na wewe kuwa mabadiliko yalitakiwa lakini si kwa shinikizo la NATO. Syria wamesema hawataki marekani . Haukuwa muda muafaka wa kumtoa kwa kufuata wave ya Misri na Tunis. Aisee usiwe na hasira na ukiritimba uliopo madarakani wa viongozi wa Africa, huu unakuwa supported na western iwapo wana maslahi yao. Inabidi tujue jinsi ya kutatua matatizo yetu si kutatuliwa. Hivi bushi alipataje uraisi wakati baba yake alikuwa raisi. Unajua familia ya bush wote ni matajiri kutokana na kuwepo seriakalini. nani alisema ni utawala wa kifamilia. Hawa jamaa wameuacha mbali itachukua miaka mia mbili kuwa na kufikiri kama wao.

Nashindwa kuelewa, tuamini kipi?????

Qataris Killed in Tripoli As City Brought Under Control

Right now I can see dead Qatari soldiers in front of my eyes, big beards, and on my hands right now I'm holding a Qatari passport... there are a lot of them but Tripoli is under control, it's all secure, everything is fine. Libyan army, the volunteers are everywhere, families, I can see now women having the green flag and fighting against these Qatari people who are trying to come inside Tripoli and make it unsettled. But Tripoli is safe, the situation is under control..

Qataris Killed in Tripoli As City Brought Under Control

ingawa unayosema huenda yakawa na ukweli, lakini aliyosema Counterpunch ni kweli kabisa -- kwamba Wazungu wa NATO na Marekani wameifungia Njuga Libya ni kwa sababu ya mafuta tu. Ni kama vile Iraq. Afghani ni tofauti -- ilikuwa ni kumsaka Osama na hivi wamemuuwa sasa wanatafuta kila njia kuondoka -- kwa heshima -- isije ikawa kama Vietnam mwaka 1975.

Ukweli mwingine ni kwamba nchi za magharibi zilipata uchungu mkubwa sana pale swahiba wao mkubwa katika eneo hilo -- Hosni Mubarak alipoondolewa kwa nguvu za wananchi, bila ya wao kusaidiwa na mataifa ya nje. Kadhalika Tunisia.

NATO walipata 'mandate' ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuingilia Libya kwa sababu eti askari wa Gaddafi alikuwa anauwa waandamanaji -- yaani raia! Polisi wa Mubarak walifanya hivyo hivyo -- waliuwa waandamanaji (raia) na shitaka moja katika kesi dhidi ya Mubarak sasa hivi ni kuuwa waandamanaji -- raia. Mbona hatukuona Wazungu wakitaka "mandate" ya Baraza la Usalama kutaka waingie Misri kulinda raia kama vile Libya?

Jamani hamuwezi kuona undumila kuwili hapo? Mbona hawafanyi hivyo kwa Syria, yaani kulinda raia wa nchi hiyo wanaouwawa kila leo na askari wa Al Assad? Au kwa Yemen -- ingawa sasa kidogo kumetulia huko? hata mtoto wa miaka kumi anaweza kuona kwamba hii haijakaa sawa kuhusu kujiingiza kwa Wazungu huko Libya.

Mbali na mafuta, kikubwa kinachotafutwa Libya na Wazungu ni contracts za kujenga upya miundominu iliyoharibiwa -- kwani watawala wapya watalazimishwa kuwapa contracts hizo kama shukurani -- kama vile ilivyokuwa kwa Irak. Hizi contracts zitasaidia sana kufufua uchumi wa nchi za magharibi unaoyumba sana. na kama vile ilivyokuwa kwa Irak, ambako makampuni yanayomilikwa na akina Rumsfeld, Condoleezza Rice na Dick Cheney, kwa Libya makampuni yatakayofaidika ni yale ya akina cameron, Berlusconi na Sarkozy.

Umesahau na the lockerbie bombing nadhani hii pia ni fursa ya wazungu kulipa kisasi kwa kadafi.

Ninakuhakikshia kuwa mkiingia kwenye vurugu kama za Libya,bottomline yake itaishia kama ya Libya ama even worse kutokana na wengi wenu msivyokuwa na busara.Chuki zenye kuingiza kabila zinaharibu.Same thing went on in Libya.Na ndivyo ninavyofanya humu hata kama mna pointi hakuna haja ya kusema huyu mkweree hivi ama vile.Ukweli wa mambo ni kwamba hata huko Libya vita ni ya kikabila.Fuatilia kwa makini usiwe brainwashed na hizo media zao.

Ni mara kumi mumwite fisadi kuliko hilo jina la kikabila wakati mnapanga hoja za kumwondoa.Kwasababu hata anayekuja kusoma humu ata conclude kwamba maybe huyu hawampendi simply kwasababu ni kabila flani.hilo likitokea kuna ambao hawatapenda hata kama ni kweli kuwa ni mafisadi.
Wengo humu wanai cost mission ya ukombozi wa Taifa letu.Especially hawa vijana wa juzi juzi humu ambao wameingia kama mchwa lakini akili zao matakoni.
jmushi1

Nilikuwa nafikiri mtu ukiwa Premium member unakuwa na busara, umeshindwa kabisa kutofautisha matatizo ya Tanzania na Libya.

Kitu cha kwanza Tanzania hatuna ukabila ila tuna matatizo ya kiuchumi, matatizo ya Libya si uchumi kama sisi ni 'oppression', matabaka 'classes' na huo ukabila, pili usifikiri kwa vile Libya wamemtoa Gaddafi kwa ukabila kwa hiyo na Kikwete naye atatolewa kwa ukabila la hasha, na kuitwa mkwe re au mpemba si ukabila ndugu yangu. Usituambie Misri nako walimtoa kwa ukabila, je Irak nako ni ukabila.

Kwa Tanzania kitakachofanya JK awe katika wakati mgumu au hata kuondolewa si kabila lake ni uchumi maisha ya wananchi kuendelea kuwa magumu huku wakiambiwa statistics zinaonyesha uchumi wa Tanzania unakua, hilo ndilo tatizo kubwa litakalomwangusha na sio kwa wana JF kumuita mkwe re, kama uko karibu naye mwambie hivyo vinginevyo ni sawa na kumdanganya mfalme umevaa nguo kumbe yuko uchi.

Nakubaliana na wewe kuwa mabadiliko yalitakiwa lakini si kwa shinikizo la NATO. Syria wamesema hawataki marekani . Haukuwa muda muafaka wa kumtoa kwa kufuata wave ya Misri na Tunis. Aisee usiwe na hasira na ukiritimba uliopo madarakani wa viongozi wa Africa, huu unakuwa supported na western iwapo wana maslahi yao. Inabidi tujue jinsi ya kutatua matatizo yetu si kutatuliwa. Hivi bushi alipataje uraisi wakati baba yake alikuwa raisi. Unajua familia ya bush wote ni matajiri kutokana na kuwepo seriakalini. nani alisema ni utawala wa kifamilia. Hawa jamaa wameuacha mbali itachukua miaka mia mbili kuwa na kufikiri kama wao.
Mkuu this is a strong point.Tuendelee na mjadala.

Naangalia muda huu! presstv naona kiongozi wa wahasi ABDEL JALIL anaongea LIVE toka BENGHAZI anadai kwamba Gaddafi hajulikani alipo na inawezekana yupo nje ya nchi! Pia anadai Presindential guard wamesurrender na kujiunga na wahasi.

Natamani ifuatie TZ tumechoka na siasa uchwara! wanabiga mapesa kwa kibwagizwo cha aman na utulivu....

Back
Top Bottom