Wazungu wakija kununua ardhi Rukwa mnawapa thousand of thousands of acres,
Wakija kukunua dhahabu yenu kwa bei chee mnawakaribisha
Wakitaka kuwaondoa viongozi wabovu kina Gaddafi na kina Kikwete mnawaona wabaya,
Congraturations NATO if you think you have any any reason to end CCM regime it doesn't matter how small is you are warmly welcome, you have my support.
Viongozi wababe wa Afrika Kina Mugabe, Mseveni including Kikwete m,,,i yanagonga kwa wakati huu.
Mwambieni mkw ere amkaribishe rafiki yake Gaddafi muone.
Hivi wewe unaweza kumlinagnisha Gaddafi na nani,,,. Wangeacha wananchi wamtoe wenyewe sio NATO. Sisi wabongo nadhani bado sana kwenye analysis. Hivi wewe ukigomabana na mkeo/mmeo basi msuluhishi aje na kubomoa vioo na kuchoma magari eti wewe unamnyanyasa mmeo/mkeo.
Sasa ukiacha fikra za kutatuliwa migogoro basi hizo rasilimali katu hutatafaidi na kama utaendelea na mtizamo eti western wanawatoa viongozi wabove umekwisha no way smart guys kama wazungu wakusaidie for free.
Nchi hii inaliwa na wachache kwa sababu wengi hatuwezi kufikiri sawasawa. mabadiliko libya yalitakiwa lakini si kwa shinikizo la western na kwa nini hawasemi system iliyopo ni mbovu bali gadaffi ni mbaya. So the strength of Gaddafi is threat to western. UKOLONI HUO Thing big.