Anakuona

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA

2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA

3. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA

4. We ni kiserengeti boy una mupenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGUANAKUONA

5. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA.

6.We unadanganya upo chuo/kazini halafu ikifika muda wa BBM mizinga elfu tatu...MUNGU ANAKUONA..
 
Una.... Mungu anakuona.
.
"IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY, AND MONEY HAVE CREATED MAD, MAD , MAD AND MADNESS".
 
Nimependa hii hapa

4. We ni kiserengeti boy una mupenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom