Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!

sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
haina kweeeere mzuka......
saa jifikirie ungekuwa ni wewe ungefanyaje.....hii ishu nimeileta hapa maana mwenyewe aliponifikishia sikuchukua round sana kumpa ushauri kuwa atafute mtu wa kuzae nae huku akisubiri bibie amalize Masters yake.....
 
Mapenzi, Kuzaa na elimu vina kitu gani in common? Kwanza mapenzi halafu ndoa halafu maisha. Huyo ndugu yako angefunga ndoa halafu vitu vingine vifuate.
Wakati mnafunga ndoa mna kuwa na vision yenu na watoto wenu. Hapo ndipo mnapanga kuwa mathalani inaanz harusi , masters mwisho watoto ndiyo dira yenu ndiyo mufuate. Mtu mwigine anawez kusema hatazaa mpaka baada ya kujenga nk.
Cha msingi hapa ni vision.
Usahuri wangu ni kuwa huyu dada atashindwa kudecide kipi kinye priority kati ya career yake au family. Kawaida baada ya masters mtu una concentrate na career yako lakini ukipata mtoto inakuwa shida ndipo hapo una mdump mtoto kwenye day care centre/ boarding schools au hse maid anatake care ya kila husband inclusive!
 
Yo Yo Tell 'Em...Huyo jamaa yako una uhakika sio wewe? (joking).. Well kama waungwana walivyosema bibie hana nia ya kuwa na jamaa for the rest of her life, huyo jamaa yako aangalie utaratibu mwingine wa kusepa.

Huyo dada ana umri gani?
 
Hivi kwanini watu wa kutoka nchi masikini mmeweka sana mbele mambo ya kuzaa mapema?
 
Naona kama michango ya uumeni na uukeni inagongana vile.....? Inatofauti kubwa. Kila mmoja achague kuwa happy. Happiness is everything. We choose happiness for its own sake......nothing else.
 
Yo Yo Tell 'Em...Huyo jamaa yako una uhakika sio wewe? (joking).. Well kama waungwana walivyosema bibie hana nia ya kuwa na jamaa for the rest of her life, huyo jamaa yako aangalie utaratibu mwingine wa kusepa.

Huyo dada ana umri gani?


.....and his goal for marriage...
 
Jamaa'ngu mmoja ana mchumba'ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba'ke…...

...jamaa avumilie tu, miaka minne sio mingi hivyo unless jamaa hajiamini, anaona bila kumzalisha huyo "mnnhhh...!"

...mwanadada ashikilie uzi huo huo, tena ikiwezekana awe mwangalifu zaidi kwenye tarehe zake za hatari -hatari, na hata akinasa kwa bahati mbaya hana haja ya kumshauri jamaa jinsi ya kui terminate!

Mwanaume mwenyewe mchumba tu, akiwa mume huenda vitimbwi vikazidi!
 
Jamaa’ngu mmoja ana mchumba’ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba’ke…...
Asikimbilie KUZAA NA MCHUMBA.

Kama anataka kuzaa sasa na aoe sasa.
Kama atamwoa huyo sasa au mwingine it does not matter.

KUZAA NA MCHUMBA SI BUSARA,ATAZAA NA WANGAPI?
 
kwani jamani...inaruhusiwa kuzaa na mchumba wako au mke wako??....nadhani jamaa anapanick upuuzi tuu...wewe huwezi kuzaa na mchumba...anatakiwa azae na mkewe...hapo naona shorty yupo smart...ila kama ungeniambia short hataki kuolewa na kuwa mke kabla hajachukuwa masterz then ningesema mshkaji atafute demu mwingine aoe kisha azae naye

kingine ambacho najaribu kujiuliza...kwani mwanaume ukiwa na 30yrs ndio mwisho wa kuzaa?...au anataka kutuambia kuwa right time ya mwanaume kuzaa ni 30yrs?....

nachokiona hapa ni kuwa dada yetu amakuwa smart kuliko mshkaji ambaye hata mie naona anataka kumzalisha dada yetu bila ndoa kisha aoe mtu mwingine then dada yetu awe na mtoto asiye na malezi ya pande mbili......PATAMU HAPO.

USHAURI.....kijana kama unampenda binti...toa mahari, funga ndoa...then watoto na mipango mingine itakuwa ndani ya ndoa yenu...mkitaka kuzaa watoto 1, 2, 10, 20 etc na mkitaka kuzaa kabla ya masters, au hata baada ya kuwa mawaziri....yooote ni maamuzi yenu wanandoa.....usipende shortcut za mambo serious na maisha ya wenzako,....NI MTAZAMO TU

Who Cares
Umesema ukweli mtupu. Watu hawazai na wachumba bali wanazaa na wake zao. Kama ulivyosema kama binti hataki kuolewa hilo laweza kuwa tatizo lakini kuzaa nje ya ndoa? No way, hii ndo inasababisha tunakuwa na jamii za ajabu ajabu. Jamaa hana nia nzuri na huyu dada yetu. Dada yuko smart ashikilie msimamo wake na kama jamaa anaondoka wala asihofu atapata ampendaye kwa dhati na watafurahia ndoa yao.
 
Yoyo anatuyeyusha tu hapa,
hakuna cha jamaa anayetaka kuoa, ni yeye mwenyewe, hata signature yake imesuggest "Goal for 2010 Marriage" sasa anaona 2010 hiyooooo na bibie bado hajamalizia masomo yake. Wajaribu kuelewana japo waoane na wazae baada ya binti kumaliza undergrad.
 
Yoyo anatuyeyusha tu hapa,
hakuna cha jamaa anayetaka kuoa, ni yeye mwenyewe, hata signature yake imesuggest "Goal for 2010 Marriage" sasa anaona 2010 hiyooooo na bibie bado hajamalizia masomo yake. Wajaribu kuelewana japo waoane na wazae baada ya binti kumaliza undergrad.
kama ni mie mbona jibu ninalo tayari......
Yo Yo Tell 'Em...Huyo jamaa yako una uhakika sio wewe? (joking)..
hell noo
 
Yo Yo vp jamaa ako amechukua uamuzi gani?
bado yuko njia panda.....ushauri wangu wa kumpiga chini shori naona hausikilizi....nikimwambia basi asubiri miaka mi4 napo hana jibu la moja kwa moja.....ila wakuu shori wake ni mkali haswaa
 
bado yuko njia panda.....ushauri wangu wa kumpiga chini shori naona hausikilizi....nikimwambia basi asubiri miaka mi4 napo hana jibu la moja kwa moja.....ila wakuu shori wake ni mkali haswaa

hehehe mpwa hapa umeniacha hoi balaa jaribu kuuliza labda jamaa anapewa mambo yetu yaleee ndo maana anasita kumuacha shori huyo. Vp lakini huyo shori taraabu imo kweli mpwa?
 
JE KAMA asipofanikiwa kuipata hiyo MASTERS, kama ana Ahadi na mungu sawa!
Mi namshauri jamaa aangalie upande mwingine tu,ngoja ngoja yaumiza matumbo kaka.
KINACHOWEZEKANA SASA KISISUBIRI KESHO.
 
Mpwa akikitema tu nifanyie mipango mpwa mi si unajua sioi mi nahit na kurun kama kawaida yangu wewe fanya makeke huyo sio wa kuoa ni wa kuhit kisha mzee unasepa.
 
hehehe mpwa hapa umeniacha hoi balaa jaribu kuuliza labda jamaa anapewa mambo yetu yaleee ndo maana anasita kumuacha shori huyo. Vp lakini huyo shori taraabu imo kweli mpwa?
hahhahahahahahaaaa yaaaani weeeee acha tu....................
 
Back
Top Bottom