Anajisikia vibaya kama furaha yangu isiposababishwa na yeye

Anakasirikia mpaka mechi ya kwenye TV??
She is got issues. Ongea nae umuulize tatizo lake ni nini haswa...yawezekana anapenda uhuru wake ila hapendi na wewe uwe huru..au hapendi marafiki zako na hiyo ya mechi ni kisingizio tu...au anahisi ni zaidi ya mechi ndo hua inakufurahisha.

Nyooshaneni mapema usije ukawa kama yule anaelalamika mume hatoi pesa ya matumizi wakati hata wakati wa uchumba alikua hivyo hivyo na akaolewa nae.

hi I imekaa vizuri nimeichukua thanks.
 
du hii kali..ukamwambie Drogba...na mie kuna siku ilinitokea hii, nilichelewa kurudi home then kuna kitu nilimuuliza (sikumbuki ilikua nini) akanijibu eti nikaulize castle lager! and she was very serious
anyway...anaonekana ana wivu sana na pia nahisi yuko "selfish" kwa sababu anapenda yeye tu kusikilizwa! kikubwa ni kuongea nae tu vizuri na kuelewana, wote mnahitaji kusikilzana na kupendana[/QUOT
ntajitahidi kuongea nae just like that, thanks
 
Back
Top Bottom