Anajisikia vibaya kama furaha yangu isiposababishwa na yeye

kibhopile

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
1,505
753
Asalaam Aleykum!
Hope mu wazima ndugu zangu. Naomba tushirikine kwa hili. hivi ninapokuwa na furaha yani nacheka cheka siku nzima basi mchumba wangu anakuwa yupo suspicious na anaweza anihoji kwamba mbona Leo uko so happy eeeh?

Mara kibao ananambia anataka kutoka na rafiki zake yani only girls nasema fine we nenda but just make sure u deserve urself out there, basi inakuwa fresh anarudi yuko happy na ananipa story zote huko ilikuwaje lets say kama walienda movie atataka kukuhadithia n u must concentrate hat a kama una usingizi, bt just kuonesha how happy she is.

Lakini Mimi sasa kama nikiomba sometimes kutoka na washkaji zangu na nikirudi tu niko happy basi lazima ataninunia, mbaya zaidi kama akijua source ya hiyo happyness Yangu kwamba ni football match na chelsea ndo iliyoshinda aiseee hadi kesho ukimwambia vipi Leo hatupiki utasikia mwambie "mwambie drogba akupikie"

Basi inakuwa msala inabidi ukitoka na washkj ukirudi furaha zote unaacha mlangoni. ngoja niulize hivi wadada huwa mnapenda nyie tu ndo mtufanye sisi happy??
 
Asalaam Aleykum!
Hope mu wazima ndugu zangu. Naomba tushirikine kwa hili. hivi ninapokuwa na furaha yani nacheka cheka siku nzima basi mchumba wangu anakuwa yupo suspicious na anaweza anihoji kwamba mbona Leo uko so happy eeeh?. Mara kibao ananambia anataka kutoka na rafiki zake yani only girls nasema fine we nenda but just make sure u deserve urself out there, basi inakuwa fresh anarudi yuko happy na ananipa story zote huko ilikuwaje lets say kama walienda movie atataka kukuhadithia n u must concentrate hat a kama una usingizi, bt just kuonesha how happy she is.

lakini Mimi sasa kama nikiomba sometimes kutoka na washkaji zangu na nikirudi tu niko happy basi lazima ataninunia, mbaya zaidi kama akijua source ya hiyo happyness Yangu kwamba ni football match na chelsea ndo iliyoshinda aiseee hadi kesho ukimwambia vipi Leo hatupiki utasikia mwambie "mwambie drogba akupikie"
basi inakuwa msala inabidi ukitoka na washkj ukirudi furaha zote unaacha mlangoni. ngoja niulize hivi wadada huwa mnapenda nyie tu ndo mtufanye sisi happy??
Ugonile nkulumba...........
 
sentesi ya mwisho imenifanya nifurahi..lakini waweza kumuuliza kwa nini anakuwa hivo..
Inaonyesha Mwenzio anakuwazia Infii zaidi!
 
sentesi ya mwisho imenifanya nifurahi..lakini waweza kumuuliza kwa nini anakuwa hivo..
Inaonyesha Mwenzio anakuwazia Infii zaidi!

It takes 2 to tango.................kwa nini amuwazie hivyo?

Mpwa hii ni hatari na unatakiwa kuung'oa mzizi wa fitina mapema! lazima ujue ni kwanini awe hivyo au la yeye ni mbinafsi.....na hiyo ni hatari nyingine!
 
It takes 2 to tango.................kwa nini amuwazie hivyo?

Mpwa hii ni hatari na unatakiwa kuung'oa mzizi wa fitina mapema! lazima ujue ni kwanini awe hivyo au la yeye ni mbinafsi.....na hiyo ni hatari nyingine!

cousin, yawezekana suala la ubinafsi, coz this type of wivu ni noumer.
 
Anakasirikia mpaka mechi ya kwenye TV??
She is got issues. Ongea nae umuulize tatizo lake ni nini haswa...yawezekana anapenda uhuru wake ila hapendi na wewe uwe huru..au hapendi marafiki zako na hiyo ya mechi ni kisingizio tu...au anahisi ni zaidi ya mechi ndo hua inakufurahisha.

Nyooshaneni mapema usije ukawa kama yule anaelalamika mume hatoi pesa ya matumizi wakati hata wakati wa uchumba alikua hivyo hivyo na akaolewa nae.
 
du hii kali..ukamwambie Drogba...na mie kuna siku ilinitokea hii, nilichelewa kurudi home then kuna kitu nilimuuliza (sikumbuki ilikua nini) akanijibu eti nikaulize castle lager! and she was very serious
anyway...anaonekana ana wivu sana na pia nahisi yuko "selfish" kwa sababu anapenda yeye tu kusikilizwa! kikubwa ni kuongea nae tu vizuri na kuelewana, wote mnahitaji kusikilzana na kupendana
 
Ana hofu na wewe, inawezekana umemuonyesha some kind of cheating au kwa namna moja au nyingine huko nyuma ulishawahi kuharibu ndiyo maana anakuwa hivyo. Oherwise kama hakuna sababu ya msingi huyo binti anapaswa kujirekebisha na hiyo tabia. Hiyo ni mojawapo ya tabia za kuwa na wivu kupita kiasi. Tatizo hili huleta karaha badala ya raha kama busara haitatumika ktk maamuzi!
 
Huyo yupo kwenye majaribio ya kutikisa kiberiti ili ajue kama kimejaa au bado kidogo. Ushauri wa bure: fanya mpango uoe acha hii longolongo ya mchumba wakati mnaishi kama mme na mke.
 
Back
Top Bottom