anaitajika fundi mzuri wa kufunga tv na redio kwenye gari

But dont give up mapema hivyo Invisible bana, anafanya evaluation kwanza. Ukimwambia watu uliowahi kuwafanyia kazi akaenda kuwauliza atajua wewe ni fundi balaa...utapata permanent contract!
Amyner,

Nimemtumia PM kwa Smile kumbe kaniweka kwenye ignore list, sasa ni-apply kwny public mnicheke hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Warembo wenyewe wa jf hawaeleweki
unaweza kutafuta kazi ukafanikiwa siku ya kuripoti
ukakutana na dume lenzio mkuu,

Inabidi ufanye uchunguzi yakinifu mkuu.
Hahahahhaaaa ni sitii neno...
Ila unaweza kuta unajua unajutana na mkaka lol unakutana na mrembo wa hatari...
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom