Anahtaji huduma ya kwanza.!

Chimemena

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
451
Rafk yangu kabanwa na kifua anashindwa kupumua, anasema kifua kinawaka moto yupo hoi analalamika kifua! kifua! na pumzi inambana.
Nipo alone home,duka la dawa hakuna, nimsaidieje kwa huduma ya kwanza kabla kesho sijampeleka hosptal?
 
Mbona hiyo ni isue serious?? Kifua kubana ni hatari, huezi kuwasiliana na jamaa zako wa karibu mumpeleke hospital?? Fanya mpango mkuu.
 
Mbona hiyo ni isue serious?? Kifua kubana ni hatari, huezi kuwasiliana na jamaa zako wa karibu mumpeleke hospital?? Fanya mpango mkuu.

kama katulia vile. Kwa sasa namwona mzma eti. Yani imemjia ghafla tu.
 
kama katulia vile. Kwa sasa namwona mzma eti. Yani imemjia ghafla tu.
Hana historia ya kuumwa Athma? Manake ndo inakuwaga dizaini hizo. Kubana na kuachia, ila umshauri aende hospital 4 more check up! Mpe pole.
 
Back
Top Bottom