anahitajika mtu wa kuendesha kampuni ya usafi

paper

Member
Oct 8, 2012
27
3
Awe ana elimu ya cheti au Diploma, Computer literate with general management knowledge. Awe msafi sana kama tabia yake binafsi, awe mkali, proffessional, mchapakazi na muaminifu. mshahara ni 250,000 - 300,000kwa mwenzi. tuma CV kwenda; lcmakoi@gmail.com
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom