Anahitajika mtu anyejua kufanya tax consultant and auditing kwenye small firm.

Samahan mkuu hyo namba nilikosea ni 0784504339 au 0715504339.Ni mdada muaminifu na mzuri sana kwenye mambo ya tax
 
Kama unafahamu naomba tuwasiliane kwa namba hizi 0753031517

Mkubwa ingekua visuli ukadokesa: kuna audit za aina mbili. moja ni Financial audit na nyingine operation audit. ipi unayohitaji? na je hii gig ni temporary au permanent.
 
Back
Top Bottom