I ikigori Member Apr 10, 2012 26 0 Oct 20, 2012 #1 Awe na umri usiozidi miaka 30,awe na ujuzi wa kutumia kompyuta,tuma maombi:johnmajaliwa10@yahoo.com
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 Oct 20, 2012 #2 yupo ila umri umesonga ni kama 32 hivi but ana experience ya muda mrefu aliwah kufanya kazi iringa finca ni ndugu yangu utamkubali?
yupo ila umri umesonga ni kama 32 hivi but ana experience ya muda mrefu aliwah kufanya kazi iringa finca ni ndugu yangu utamkubali?
I ikigori Member Apr 10, 2012 26 0 Oct 20, 2012 Thread starter #3 awe tayari kufanya kazi bagamoyo,tuma cv yake kwa email.
Nivea JF-Expert Member May 21, 2012 7,459 4,748 Oct 20, 2012 #5 toeni jina la ofisi jamani du usije kuta ofisi kwa mtu nyumbani lol
Tuya JF-Expert Member Aug 30, 2008 312 79 Oct 20, 2012 #7 Unaonaje kama ungetoa jina la kampuni ili kama mtu anatumia awe na uhakika kuliko kutoa tu email.
hendeboy JF-Expert Member Nov 5, 2010 218 21 Oct 20, 2012 #8 Mimi mwenyewe nahitaji ila naogopa maana kampuni yenyewe haijulikani
magessa78 JF-Expert Member Sep 28, 2009 270 31 Oct 21, 2012 #9 hendeboy said: Mimi mwenyewe nahitaji ila naogopa maana kampuni yenyewe haijulikani Click to expand... mtafute huyu..ni mzoefu atakusaidia sana kwenye ofisi yako 0759 161747
hendeboy said: Mimi mwenyewe nahitaji ila naogopa maana kampuni yenyewe haijulikani Click to expand... mtafute huyu..ni mzoefu atakusaidia sana kwenye ofisi yako 0759 161747