Anahitaji ushauri

Kindimbajuu, dada P hakuwa na mahusiano na mtu mwngne bali mr.X alikuwa anatafta sababu ya kumuacha dada P kwan inakuwaje mtu umuamche mchumba wako uliemu-engage thn ndan ya mwez uanze process za kumuoa mwingne? hapo huon km mr.X alikuwa ana mahusiano mengne?????

unachosema chaweza kuwa kweli.
ila mimi binafsi ninaumia sana ninapoachwa na ninae mpanda, lakini kwa upande mwingine tunatakiwa tukubali kuwa ni vema mtu akikuacha wakati wa uchumba, kuliko ktk ndoa
 
Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa dada P ana uhusiano na mkaka mwingine. basi huyo mchumba wa dada P akachukua uamuzi wa kuachana naye na inasemekana mkaka ameshatafutiwa mchumba mwingine toka kijijini.... so anahitaji ushauri je afanyeje? na mwanaume kashikilia msimamo wa kuachana?
Si aende kwa huyo mwengine? Ilivyokuwa wote ni wanaume sioni tatizo!
 
hana la kufanya hapo.
mwenzie kishaamua yeye atalazimisha?
labda kama ana ushahidi wakumuonyesha huyo mwenzake ili amuamini.
aache aende zake, yuko mume wake Mungu aliemwandalia.
 
kuwa na subira usiwe na haraka najua hizo ni hasira sikiisha atajirudi, miaka mitano ni mingi sana hivyo hawezi kukuacha kirahisi hivyo.

yan unaambiwa hyo mr.x yuko kwenye process za kuoa. na vikao vinaendelea
 
Waitwe wazee, arudishiwe mahari yake na kiji-ring cha engagement dada wa watu awe huru kurudi sokoni! Maisha yenyewe mafupi haya, mtu hujamzaa wewe anakutia stress?

Mwanaume wa kusikia namna hiyo atampeleka wapi kusiko na wanafki na vizabina? Manake kuna mtu akikuona hata na mtoto wa kakako anasema una serengeti boy! Waiii!
 
so mwanaume kalipa mahari na kutangaza kwa watu anaooa halafu
aghairi bila kuwa convinced kuwa kuna hakiko sawa?
huyo mdada anajua alichokifanya
huyo mwanaume sio mjinga

The Boss hata kama dada P alifanya makosa inakuwaje mr.x aprocess ndoa fast kias hko? ndan ya mwez na vikao vinaenaendelea we huon kama alikuwa tayar ashafanya maamuz na alikuwa anatafta tu sababu?
 
Last edited by a moderator:
hana la kufanya hapo.
mwenzie kishaamua yeye atalazimisha?
labda kama ana ushahidi wakumuonyesha huyo mwenzake ili amuamini.
aache aende zake, yuko mume wake Mungu aliemwandalia.

asante dada Remmy
 
Last edited by a moderator:
Waitwe wazee, arudishiwe mahari yake na kiji-ring cha engagement dada wa watu awe huru kurudi sokoni! Maisha yenyewe mafupi haya, mtu hujamzaa wewe anakutia stress?

Mwanaume wa kusikia namna hiyo atampeleka wapi kusiko na wanafki na vizabina? Manake kuna mtu akikuona hata na mtoto wa kakako anasema una serengeti boy! Waiii!

c ndo hapo mamie!
 
tena ndoa za kulazimisha ni kimeo balaa! mkigombana kidogo yule aliyelazimishwa utasikia 'NILIJUA TU, NILISHAONA MBALI UKANILAZIMISHA'! yaani mwambie achape lapa!
 
Huyo hakuwa mchumba wa kweli ww huwezi ckia tu habari huku hakikisha ukweli wa mambo unajifanya kusepa yeye aseme amemchoka tu alikuwa anatafuta sababu.
 
ni kwamba dada P hakuwa na mtu bali mr.X ndo alimwacha kwa visingizio vya uongo!

Hivyo bado ana nafasi yake kwani aliyeongopewa ana nafasi kubwa ya kujitetea. Anaechafuliwa jina lake huenda vyombo vya haki na hapa haki yake itapatikana kwa yeye kukabili huyo aliyetowa uongo athibitishe huo uongo wake!
 
Back
Top Bottom