Sugar wa Ukweli
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 373
- 37
lakini kiongozi kumbuka si wote tuna maujuzi ya hizo stuffNdugu mbona wewe upo siku nyingi hapa JF halafu unakuwa kama mgeni aliyejiunga leo? kwa kifupi huyo mtu kwa hapa JF hana market yoyote, nenda jukwaa la tekinolojia tafuta thread inayoitwa JINSI YA KU UNLOCK MODEM. watu wamepewa hiyo elimu bure, kama umeliwa pesa kwa ajili hiyo pole sana. usiwe mvivu wa kupekuwa majukwaa humu JF. HAYA WADU SOFTWARE NI HIYO HAPA HALIWI MTU PESA. View attachment 22816
View attachment 22800
wasilianeni na huyu dogo anaeweza kufungua usb modem zote,anapatikana kwa no 0713482850 na 0684 482853,mie ninayo ya voda hapa natumia line ya zain
Kiongozi tusiandikie mate wakati wino upo!Nina Mashaka ya hiyo yenye red?