Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Pius msekwa na anna abdallah, makambaz, shellukindos..
huu ugonjwa ma makambwa, mwinyi, mswekwa, nnauye, shullukindoz lazima uishe 2015. tumechoka na hawa watu ila mwisho wao unakaribia. ngoja wavutane. tabia chafu kweli hadi dada mtu anauza mwizi kwa ajili ya pesa