Anafanana sana na Mbowe

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Sio mbaya kumfahamu ni Nani huyu.Aliye nielewa atanisaidia.Ni mtoto au mdogo wake.Bahati mbaya sina picha yake.Nimemwona naye yupo arumeru kwenye mapambano
 
Nashukuru sana mkuu huyu kamanda amefanana sana na mwenyekiti mbowe.Ubarikiwe sana.Naona kuna mijitu mingine imekuja na dhana mbovu yamemwaga mapovu wee Hata hayajui ninacho maanisha.
Ni kweli mbowe anafanana na katibu wa bavicha anayeitwa deogratius munishi, hata miwani wanavaa wote mpaka kuongea wanafanana but hawana undugu wowote.
 
Nashukuru sana mkuu huyu kamanda amefanana sana na mwenyekiti mbowe.Ubarikiwe sana.Naona kuna mijitu mingine imekuja na dhana mbovu yamemwaga mapovu wee Hata hayajui ninacho maanisha.
Mkuu mimi mwenyewe huwa nawaona wanafanana!!
 
Chadema haina undugu wala hawaridhishiani ubunge.

Kiswahili ni kigumu kuliko nnavofikiria, ndio nini hicho? nimetafuta kwenye kamusi sijaliona hilo neno, naomba unisaidie kulifafanua.
 
Kiswahili ni kigumu kuliko nnavofikiria, ndio nini hicho? nimetafuta kwenye kamusi sijaliona hilo neno, naomba unisaidie kulifafanua.
Hajakosea , ana maana CHADEMA huwa wanaridhishana , sasa sijui wanajigawa vipi ili kuridhishana, teh teh teh teh.
 
fatilia viti maalum walivyogawana.

Mzee, mzee, mzee acha kabisa kugusa huko. utakutana na jambo baya sana, japo unasema ka-ukweli fulani mezea tu.
unajua unaweza tengeneza shairi na vina vikaa sawa;

Edwin Mtei, Freeman Mbowe;
Wilbroud Slaa, Rosemary Kamili;
Tindu Lissu, Christina Lissu
Philemon Ndesamburo, Lucy Philemo;
Vecent Nyere, Letcia Nyerere;
unaweza kuendeleza shairi hilo. Teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom