Anaewapa kiburi owner wa mahoteli kutolipa tuzo ni nani??-mama kilango

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Jamani namsikia mama kiilango aka mama king's analia kweli kwenye clouds
anasema kuna kikundi cha mahoteli kikiongozwa na serena hotel kimekaa
na kupinga kodi ya tuzo ya doller 60 badala ya kumi kama walivyozoeshwa na
mawaziri mafisadi...inatia aibu sana sana mama anasema kuna mianya mingi na sasa
amesema lazima hii tuizibe mapema..awawezi kutoza na kupata doller 800-1000 waje kutupa doller 10 kwa kitanda hawana adabu kabisa mama anasema kwanza ana uhakika wapo watanzania wanaweza kusimamia mahoteli haya kabisa
na kama wameshindwa waondoke zao hawana adabu kabisa hawa...anasema inaumiza sana sana na ajui hizi sheria
nani anawalinda hawa wahuni wasitoe hela zetu akasema loliondo kuna watu wanakufa awana usafir wala ambulance
lakin wanachukua hela nyingi sana sana na mbaya zaidi wanazipeleka kwao awafanyi la maana hapa kwetu useme hela zinarudi hapa hapa

big up mama
 
Sidhani kama kuna watanzania wanaweza kuongoza hayo mahotel tukipewa hata hiyo dollar 10 haitapatikana, utasikia tu Kingunge na wana magamba wengine.
Waacheni Serena walipe hiyo dollar10.
 
waache unafki na siasa, hotel zote za kitalii mwanzo zilikuwa chini ya serikali, TULIZIFANYA NINI? awamu ya kwanza ilimiliki makampuni yote makubwa. Sasa hivi yapo wapi. MAMBO YA KUPEANA. UNAMPELEKA HOUSE GIRL WAKO KUWA HOUSE KEEPER UNAWAMWAGA PROFESSIONAL. Tuache unafiki. siku tukiacha kufanya kazi kwa kujuana na urafiki ndio tuseme hilo. UTOZE DOLA 60 KWA KITANDA KWA NGUVU GANI MLIYOFANYA KUUTANGAZA UTALII.
 
Back
Top Bottom