Anaewajua Hawa Warembo wa Bongo

Unajua sikatai warembo wapo hapa Bongo tena wengine wakali kuliko hawa hapa ndani.Ninachojua kuhusu hawa watu ni kwamba ni watu wanaofahamika na baadhi ya watanzania kutoka na kazi zao za uigizaji/uandishi katika magazeti ya udaku na siyo urembo.
Hivyo basi urembo siyo wao,wao ni umaarufu tu.
 
DSCI0570.jpg

Huyo hapo juu mwenye nywele kama amepigwa shoti ya umeme ndio tena huyu hapa chini kavaa "hawa mke wa adam"?
 
Sioni mrembo humo. Labda mwenzetu anapenda rangi ya kujikoroga? Hapo hakuna mwanamke mwenye rangi yake orginal wote hao wameji-JIK.
 
Kudadeki naona dada hapo juu kavaa kileather, ebanae na joto la mjini hapa si mzozo... Au ndio fashion kisa Rihanna kavaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom