Anaepafahamu DODOMA Mjini..

Hapana hawana conference moja wana zaidi ya moja na ipo ndogo tu yakutosha watu 30-50 acha ile kubwa ya kule nje kuna nyingine ipo hapo ndani kabisa
Ahsante sana.. nahisi nakaribia kupata chaguo langu....:evil:
 
nenda MODERN HOTEL..then usiku karuke disco 84...mchana kale nyama choma Rose Garden au Jacuana....kapige picha Nyerere Square ....mademu kachukue CHAKO NI CHAKO

BOLD:pamibaki jina tu hapo... Kazi kwanza, burudani baadae...!!:happy:
 
nenda MODERN HOTEL..then usiku karuke disco 84...mchana kale nyama choma Rose Garden au Jacuana....kapige picha Nyerere Square ....mademu kachukue CHAKO NI CHAKO

Black: Baada ya shuruba Wkiend patafaa... ila nasikia zinapigwa ngumi mle kati ya waheshimiwa wa umbea mjengoni na wananchi kugombea 'swala'.
Red: Ewaaaaaaaaa.... aiiiiimen... na wine kavu nusu chupa kwa kila mlo... afya lazima ikaae sawa...!!!:happy::happy:
 
Mimi napafahamu dodoma sehemu moja inaitwa mpwapwa.
Karibuni dodoma, karibuni mpwapwa.
 
Back
Top Bottom