anaelijua hili kuhusu clouds fm !!!!!!!!

jamani mi naomba anayejua atupe riport lakini tusichanganywe na hawa vibaraka !!!!!!!!!!
kwamaana ishu ni very simple clouds wanaua mziki sababu ni hii na ile au clouds wanasingiziwa sababu hii na ile basi !!!!!!!
fullstop
wakuu karibuni kwa mara nyingine !
 
Nina miaka karibu Minne sijawahi kusikiliza Clouds FM...Lakini nikiwa ktk KLM on the way to USA September Mwaka jana nilikaa seat ya jirani na kijana mmoja ambae ni mwanamuziki wa kizazi kipya..aliilalamikia sana jiyo FM Station kwamba ni Tatizo kwa maendeleo yao ya kimuziki kwa sababu..inatumia divide and rule kwa wasanii ili hata wasanii wenyewe wasiwe na sauti moja..hlf imekuwa ikiwajaza sana maneno wanamuziki wapya dhidi ya wakongwe ili waonekane kwamba wakongwe wanawazibia ma underground wasitoke...Pia hali inaelezwa kuwa mbaya sana kama mwanamuziki ni wa kike..kwani ni mpaka ruge atembee nao ndio mwanamuziki wa kike anapata chance ya kupata airtime katika FM Station hiyo....Na alinieleza kwamba jamaa kafyagia wanamuziki mademu wengi sana mfano...Jide,Ray C, Maunda Zorro..Dattaz nk
 
basi mwenyekiti nuksi hadi shemeji yake !!!!!!!!!!!
 
Kumbe eeeh, sikujua earlier!! asante sana, na mimi nimepata point of reference
 
pia kuna tetesi kuwa mh. jk baada ya wasanii kulalamika sana kuwa wananyonywa sana na mamu alitoa pesa za kununua mitambo kama ya mamu ili wasanii wanufaike lakini inasemekana imeishia mikononi mwa hao mabepari !
sijui inakuaje hapo !
 
jamani mi naomba anayejua atupe riport lakini tusichanganywe na hawa vibaraka !!!!!!!!!!
kwamaana ishu ni very simple clouds wanaua mziki sababu ni hii na ile au clouds wanasingiziwa sababu hii na ile basi !!!!!!!
fullstop
wakuu karibuni kwa mara nyingine !

Sasa matusi na kejeli zako zilikuwa za nini au unataka uone comment ya kile unachotaka kuona tu. Uki jifunza ku respect watu na wewe utakuwa respected.
 
Nina miaka karibu Minne sijawahi kusikiliza Clouds FM...Lakini nikiwa ktk KLM on the way to USA September Mwaka jana nilikaa seat ya jirani na kijana mmoja ambae ni mwanamuziki wa kizazi kipya..aliilalamikia sana jiyo FM Station kwamba ni Tatizo kwa maendeleo yao ya kimuziki kwa sababu..inatumia divide and rule kwa wasanii ili hata wasanii wenyewe wasiwe na sauti moja..hlf imekuwa ikiwajaza sana maneno wanamuziki wapya dhidi ya wakongwe ili waonekane kwamba wakongwe wanawazibia ma underground wasitoke...Pia hali inaelezwa kuwa mbaya sana kama mwanamuziki ni wa kike..kwani ni mpaka ruge atembee nao ndio mwanamuziki wa kike anapata chance ya kupata airtime katika FM Station hiyo....Na alinieleza kwamba jamaa kafyagia wanamuziki mademu wengi sana mfano...Jide,Ray C, Maunda Zorro..Dattaz nk

Haya mambo umeeleza ni yanaweza kuwa ni kweli kabisa buta scope yake sio clouds tu. Imetokea kuwa cluouds ndiyo chombo kinachongara kw ahiyo lazima matatzio yeote ya wasanii na chnyenyewe kimulikwe.

Divide and rule sio kwenye muziki tu . Sehemu tunazofanya kazi managament zinatumia style hizo hizo. Serikali na yenyewe inatumia style hii na hata mashule na vyoni wanafunzi wanagawa kwa style hii hii. Kwenyehistory utaona hata wakoloni walitumia style hii but ni vipi wanachi walifanikiwa. Hope wasanii wengi japo wamefika form for na elimu yao ya hisory inaweza kuwapa mwanga nini kinatakiwa.

Kudhani matatizo ya wasanii yasingekuwepo kama neno clouds lisingekuwepo ni kujidanganya. Sehemu yatatio kubwa ni umbumbu wa wasanii wenyewe. Its very easy to divide them than to unite them

NiI ujasiri na akili za wa wahusika(wasanii) tu ndio zinaweza kuwachomoa kwenye minyororo.

Kuhusu wanawake ndio hapo haya mambo sio wasanii yapo sehemu nyingiushaihidi wake ni mgumu kama hakuna majasiri wa kujitokeza kusema wazi. Ndiyo kama ya kina liyumba. Sometime wanaume wakisema sana kuhusu jambo hili wanaonekana wanawanyanysa wanawake wengine wansema wanawaonea wivu. Sasa msanii x, au Y au zee kaamua kutoa urada wake ili a'ngare kakubali bilakunyonga na hata baada ya ku'ngara na kutoka hatoki na kusema waazi yaliyomkuta.Then inabaki kuwa ni story tu za udaku. again wahusika wenyewe ni sehemu ya kuleta mabadiliko .

Eleweni na Ruge naye ni bindamu tena inawezakena rijali . huwezi jua ukweli katika hao mnaowataja inawezakana alishawishi nusu na nusu nyingie yawanawake wao ndio walimshawishi. Zipo evidence nyingi wasichana wao kutaka kutumia jinsia zao kupata upendeleo.

kwa hiyo sometime tuache ushabiki tufanye uchambuzi na kupima mambo bila upendeleo.

Nilichosmea wasanii wetu inabidi wajifunze kufanya mambo kisomi. Wajifunze kuacha kuchukua kianzio kabla hajaona mkataba, wajifunze kuandika nakuwasilina na ofisi zinazhusika na mambo yao.
 
hahahahaha,Ukweli mtupu Nyambaffff!!!!!!!!

Eti ukweli mtupu . Unadandia tu treni kwa mbele . Utatolewa utumbo . Unajua maana ya neno rural swaga wewe??? Hilo jina lako linajieza leza. kama hujui maana yake tafuta dictionary. watu wakikuomba jicho usiseme wamekutukana

1.
an itinerant Australian laborer who carries his personal belongings in a bundle as he travels around in search of work
2. a proud stiff pompous gait

1. (British informal) very chic hhhahha very chic

Nenda http://www.audioenglish.net/dictionary/swagger.htm uko uelwe maana ya kitu sio sababu umekisikia tu unatumia kuiga iga kunya kwa tembo utachanwa.........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom