Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 150
Habari zenu wana-Jf. Keyboard ya laptop yangu inatatizo ambalo nimeshindwa kulirekebisha; aina ni Compaq. Keyboard yake ina vitufe vya namba ambavyo viko kwa mpangilio kama ule wa culculator kwa upande wa kulia. Tatizo ambalo limejitokeza kama siku tatu zilizopita ni kwamba ninapotaka ku-type namba kwa kutumia vitufe hivi namba hizo hazitokei kwenye screen, kama vile inavyokuwa unapo-click number lock. Naomba mtu anaejua ufumbuzi anisaidie mawazo. Natumia Window 7. Asanteni.