Anaejiita mwekezaji Msaki avamia na Kujenga eneo la wazi la kucheza watoto Mivumoni

babuwaloliondo

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
378
174
IMG00309-20110508-1029.jpg

Hili ndilo eneo kama linavyo onekana ambapo mtu huyo anae jiita muwekezaji amevamia na kujenga

IMG00310-20110508-1029.jpg

Uzio ambao umewekwa na anae jiita muwekezaji Ndugu Msaki

IMG00311-20110508-1029.jpg

Baadhi ya Majengo yake

IMG00312-20110508-1030.jpg

Hapa ni uzio huo unao onekana kwa ukaribu ambapo watoto walikua wakicheza hapo na sasa imebaki kuwa Historia

IMG00313-20110508-1031.jpg

Mafundi wakiendelea na ujenzi katika eneo hilo ambapo kimsingi ni eneo la watoto kucheza

IMG00314-20110508-1031.jpg

Wakiwa wanaendelea Kuporomosha majengo eneo hilo ambalo si la ujenzi

IMG00315-20110508-1040.jpg

Pichani si sehemu ya ramani, ya kitalu namba 4 aliyo na usajili na 38383, E' 353/107 toleo la tarehe 24/05/2004 inayoonyesha kuwa kiwanja no 30 ni eneo la wazi.
Eneo la mivumoni limekubwa na wawekezi katika maeneo ya wazi, Pichani ni kiwanja na 30 chilichopo kitalu namba 4,kikiwa kimezungushiwa uzio na mwekezaji aliyejulikana kwa jina moja la Msaki. Wakazi ya maeneo halo walifanya usafi wa eneo ili kuwawezesha watoto kucheza mpira wa miguu ndipo mwekezaji huyo alipojitokeza akajenga uzio. Kwa mujibu wa meelezo yake yeye ni mmiliki halali wa eneo hilo.

CHANZO: Mbeya Yetu: Breaking News: Anaejiita muwekezaji Msaki avamia na Kujenga eneo la wazi la kucheza watoto Mivumoni
 

Attachments

  • IMG00309-20110508-1029.jpg
    IMG00309-20110508-1029.jpg
    46.1 KB · Views: 43
  • IMG00310-20110508-1029.jpg
    IMG00310-20110508-1029.jpg
    53.8 KB · Views: 32
  • IMG00311-20110508-1029.jpg
    IMG00311-20110508-1029.jpg
    48.5 KB · Views: 33
  • IMG00315-20110508-1040.jpg
    IMG00315-20110508-1040.jpg
    51.7 KB · Views: 34
Back
Top Bottom