Anaeijua radar recruitment

bidam90

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
271
184
Habari wana jf natumai muwazima wa afya!!
Nimepigiwa simu na RADAR recruitment agency natakiwa kwenda kwenye usaili jumatatu!!
kuna yoyote aliewahi kufanya au alishawahi kuitwa kwenye usaili na hawa jamaa atupe uzoefu???
Msaada niliomba nafasi ya uhandisi wa mafuta na gesi (Petroleum engineer)
 
Mimi nilishawahi kuitwa kwenye usaili na hao jamaa, walikuwa amani palace/place opposite na Serena hotel, baadae wakanipeleka kwenye kampuni iliyokuwa inahitaji mtu, nikafanyiwa interview tena na hao wenye kampuni, nikapata na kuanza kazi.
 
Habari wana jf natumai muwazima wa afya!!
Nimepigiwa simu na RADAR recruitment agency natakiwa kwenda kwenye usaili jumatatu!!
kuna yoyote aliewahi kufanya au alishawahi kuitwa kwenye usaili na hawa jamaa atupe uzoefu???
Msaada niliomba nafasi ya uhandisi wa mafuta na gesi (Petroleum engineer)
Hawa jamaa wako vizuri, wakiku- interview ukapita kwao ni nadra sana kukataliwa huko uendako, waajiri wengi wanawaamini sana hawa RADAR. Kapige interview Mkuu.
Kwa sasa nadhani wako Mikocheni unapitia njia ya ITV kisha pale TRA unakata kulia au ile ya Rose garden kisha kule mbele unakata kushoto
 
Asante sana mkuu mkuu vipi ulishawahi kufanya usaili kwao???interview yao ipoje??
 
Kuna jamaa yangu alipigaga hapo kwao Mikocheni, sasa interview inategemea na field ulioko but tegemea Aptitude Test ya kukustua akili kidogo before oral.
 
Asante sana mkuu ngoja nifanye mazoezi ya aptitude test
 
Ndugu yangu kama huna elimu ya nje basi iwe bahati yako lakini unaweza kwenda na utuletee mrejesho.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom