Anadai ananipenda lakini anamkumbuka alemtoa kimfuniko

Ras wakambo

Member
Nov 22, 2011
71
6
Wanajamii nisaidieniiiii kuna demu kazini kwetu nilizoeana naye kipindi ana matatizo ya mshahara na mwajiri wetu...nkampa baadhi ya huduma then nikahc kumpenda na kwa muda mrefu namtupia cku moja moja,anadai hana mtu mwingine na ananipenda lakini anamkumbuka sana mwanaume wake wa kwanza hadi anagckia vibaya japo waliachana
 
We usijali mchape fimbo vizuri, atamsahau aliye mtoa bikra yake.

Wanawake wenginea akili zao hazisahau mpa pale unapomchochea vizuri.

We mchochee vizuri uone mamboz, hata wanawake wale marafiki zake watanza jipitisha pitisha, mana lazima watapewa tu news, kama huko mambo sio ya kawaida...ndo walivyo hao, mana ukisha mpatia vizuri... Ujuwe wazi, mdomo wake kila wakati utakuwa uko kukutaja taja na kukusifiia mbele za wanawake haswa marafiki zake :violin:
 
Huyo yuko heart broke mpe chance ya kuheal, maana ukiyavaa mapenzi yake kwa sasa utakuwa ni rebound
 
Ahhhh huyo hajapata mtu wa kumfanya asahau.kula mamboz na uhakikishe unamsugua balaa.atamsahau mwenyewe
 
bora wewe mimi napata shida na demu niliyemfungua mlango sasa ameolewa ila anataka tuliendeleze libeneke. Nahic mme wake hamchapi vilivyo sasa wewe mchape vizuri atamsahau tu
 
mkuu chapa ilale uooooo...ne atakavyo kusifia. kama ataki mwambia achape lapa usikubali akupotezee time mkuu.
 
Unamuongelea SL? Manake kakake Ashadii akiibuka huko unakula server ban!
bora wewe mimi napata shida na demu niliyemfungua mlango sasa ameolewa ila anataka tuliendeleze libeneke. Nahic mme wake hamchapi vilivyo sasa wewe mchape vizuri atamsahau tu
 
Haya majibu ushayapata kwa wazoefu naongezea tu kula vizuri kumzika vyakutosha manake usije ukaleta malalamiko kama wengine wansema mwanamke hatosheki anataka kila siku na jamaa uwezo mdogo,kwa ufupi jiandae kikamilifu kabla hujaingia uwanjani usiniaibishe dadako..lol
 
Demu anamkumbuka bwanake wa zamani na bado unaendelea nae! Jiulize kama ukimuoa na akikutana na huyo jamaa si atakula fimbo tu? Mwambie wazi kuwa hilo suala linakupunguzia confidence kama vipi amsake huyo bwanake akawe hata mke wa pili, wa tatu au mlupo tu kama huyo jamaa anayo ya dhahabu!
 
Hua inatokea 2 most women hua ni ngum kusahau their first lovers nadhan ni nature,play your part kumsahaulisha atasahau litle by litle
 
bora wewe mimi napata shida na demu niliyemfungua mlango sasa ameolewa ila anataka tuliendeleze libeneke. Nahic mme wake hamchapi vilivyo sasa wewe mchape vizuri atamsahau tu

aiseee!kumbee?
 
Hua inatokea 2 most women hua ni ngum kusahau their first lovers nadhan ni nature,play your part kumsahaulisha atasahau litle by litle

poa aisee lakini ananifanya nihuzunike jana kanambia nikamtafutie chapati triple a kwenye maonesho ya syria nikakuta znauzwa f30 ckununua nikarudi geto kwake akanuna hata kumtupia akagoma
 
Back
Top Bottom