Anachosema Kova kuhusu Al Shabab kina ukweli Mkubwa

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Kutokana na taarifa ya kupigwa marufuku kwa maandamano ya kupinga malipo ya Dowans ni kweli Kova anajua kutakuwa na vitisho vya shambulio la ki gaidi la Al Shabaab maana anawajua na anawapa ulinzi na kwa namna moja au nyingine, yuko kwenye payroll yao maana operations na fedha nyingi za Al Shabaab zinapitia hapa kwetu.

Na kuna mambo nachunguza na kujiridhisha nitakuja na habari inayowasha masikio kuhusu Nchi hii na mambo inayoyafanya mpaka jumuiya ya ki mataifa wameibwekea ndipo wakachukua hatua kuhusu mambo fulani ya ki usalama.

Zaidi sana hakuna Al Shabaab mwenye nia ya kuvuruga mechi ya Simba na Yanga bali maana ulinzi pale utawezekana na hata kama yatawekwa mabomu watayaona kuyategua na kujioshea jina lakini la kuwalinda wananchi wanaodai haki zao za ki msingi hawana ulinzi wa kuweza kuwapa na zaidi sana utaona watatumia gharama yoyote kuyadhibiti na hata kuwapiga mabomu ya machozi watakaoandamana ili tu kulinda unga wao lakini siyo usalama wetu.
 
Your majesty DErimto. please provide os with synopse that we work alongside with you for the sake of our mother Tanzania!
 
Ulishawahi kufundishwa juu ya matumizi ya comma, nukta, alama ya kuuliza, alama ya mshangao etc wakati upo shule ya msingi?

Kabisa mura! nilifundishwa vizuri sana, na walimu wetu waleee wa kipindi kileee; ila kuna wakati nadhani mtu unaweza kupata hasira na kama ulikuwa unapigana masumbwi ya kawaida hasira zinazidi then unaanza kuchanganya kungfu humohumo.

Am sorry Mwita25 ila nadhani nimeeleweka kwa kiasi fulani.
 
haaaahhaa , kinanaaaaaaaa, basheeeeeee rageeeee ndio matunda yetu haya, labda mbinu za al-shabibu katoa kinana maana ndiye rafiki mkubwa wa RA alafu wote wakuja
 
si jeshi la kulinda bali ni intelejensi tu kwisha kazi.

itatokea wakipata intelejensia kuwa nyumbani kwako kutavamiwa watakushauri uhame ukalale kwa jirani.
 
Back
Top Bottom