Anachokifanya Docta Slaa sio fair

Dr slaa anainyanyasa sana ccm kiasi cha kuwafanya washindwe kuendesha nchi, Dr slaa watu wanakuamini sana kiasi cha kutaka uwe raisi hata sasa hivi, Dr slaa ccm wanakuogopa sana walijua usivyokuwa bungeni basi wangepumua, lakini imekuwa tofauti sana kwani bado vijana wa cdm wanawaendesha sana wan-ccm huko mjengoni, Dr slaa bado unawafata ccm huko huko vijijini na kuwahamishia chadema sio kwa kutumia nguvu bali maneno tu, Dr slaa safi sana Kamanda wa anga jana katuwezeshea shughuli ya m4c, Dr slaa tunakuamini tunakuhitaji

Yaani anachokifanya ni kuchomoa mpira wa oxygen kwa mgonjwa mahututi. Mi naona anahitajika kiongozi mmoja mwenye busara wa ccm amuite huyu mzee waongee kama wanaweza kusettle hii issue namna ingine, ama sivyo huku ni zaidi ya kuwajeruhi.
 
Naona watu wote mmeshindwa kumwelewa mleta uzi, nimemsoma vizuri kwamba Dr Slaa sio fair anavyozidi kuwatia pressure magamba, anaingia mpaka kwenye vungu za vitanda vyao. Magamba hayapumui tena.

Inashangaza sana. Itabidi akitoka uko aje na hapa JF kutoa watu tongotongo, wote walioshindwa kutegua mtego mdogo sana nilioweka hapa ni hatari kuliko magamba. trust me.
 
Mkuu wa-TZ huwa hatuna ubunifu wa kugundua mitego!

Umeona jamaa wanavyomsakama mtoa mada eeeeh! Huyu jamaa yuko kinyume kwa maana nyingine anawazodoa wana mabwepande! Anawahurumia jinsi Operation Sangara isivyokamatika!!

Bandugu huyu ni mwenzetu tusimwue bure, yuko upande wetu!
hahahahaha na kweli, wataniua hawa watu nisaidieni jamani.
 
Mkuu wa-TZ huwa hatuna ubunifu wa kugundua mitego!

Umeona jamaa wanavyomsakama mtoa mada eeeeh! Huyu jamaa yuko kinyume kwa maana nyingine anawazodoa wana mabwepande! Anawahurumia jinsi Operation Sangara isivyokamatika!!

Bandugu huyu ni mwenzetu tusimwue bure, yuko upande wetu!
Upande wenu ndio wapi mkuu nami nije?
 
najua ww ni CDM Damu,ulitaka kuelezea flaa yako jinsi ccm inavoanguka kwa kasi!bigup dr slaa
Right. I am so happy, hizi ni ngumi za uso, adui kajaa damu, haoni, kukimbia hawezi,kaegemezwa kwenye kipago, akitolewa kwenye kipago anakula vifuti, meno ya mbele yote yako chini, ni aibu, ccm inaumizwa vibaya sana, watu wanafumba macho, ni ngumu kuiangalia, sauti imekatika kwa kilio,damu masikioni,puani,mdomoni, roho iko tayari kutoka, sogeeni mbali jamani, mwisho wake umewadia.
 
Pressure imepanda eeeeeee.....! Ameenda kuwafunua kiakili ndugu zetu masikini Kama ulivyosema. Wanahitaji ukombozi wa fikra na akili, ukisema ni ngome ya CCM nakataa, ni kuwa wananchi walikuwa hawana uelewa tu, sasa operesheni imewachonganisha balaaa.

Binafsi nimefurahia sana kwani amefika kijijini kwa ndugu zangu na amewafumbua macho. Yaani hapa nina raha sana.....wanasema walifurahi sana kumuona.
Viva Dr Slaa, viva Sangara, viva M4C!
 
Yaani anachokifanya ni kuchomoa mpira wa oxygen kwa mgonjwa mahututi. Mi naona anahitajika kiongozi mmoja mwenye busawa wa ccm amuite huyu mzee waongee kama wanaweza kusettle hii issue namna ingine, ama sivyo huku ni zaidi ya kuwajeruhi.

Anawajeruhi kivipi? Jenga hoja wee gamba.
 
Naona watu wote mmeshindwa kumwelewa mleta uzi, nimemsoma vizuri kwamba Dr Slaa sio fair anavyozidi kuwatia pressure magamba, anaingia mpaka kwenye vungu za vitanda vyao. Magamba hayapumui tena.

Kama ni hivyo sawa. Yaani nilikishangaa kichwa chake na nikamuhurumia mzazi wake aliyemzaa na watoto wake.
 
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

Hapo kwenye red umeharibu kwa kutojua au makusudi kwa kuona wivu. CDM ni chama cha siasa ambacho kimedhamiria kushika dola ifikapo mwaka 2015 baada ya kudhulumiwa mwaka 2010. Sasa wewe unataka wasiende huko?

Dr. Slaa kama mtaendaji mkuu wa chama anastahili kwenda sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano wa TZ kwa lengo la kukijenga na kuimarisha chama.

Unaposema huu sio wakati wa kampeni hueleweki! kwani kwenye mikutano yake na wananchi amewaambie wamchague kuwa rais? au anawaelimisha wananchi kuhusu Udhaifu wa CCM na kueleza sera za CDM ili wananchi wajiunge nacho.

Hakika umechemsha
 
bila shaka utakuwa unatumia masaburi kufikiri
 
Hatamimi nimemuele
Naona watu wote mmeshindwa kumwelewa mleta uzi, nimemuelewa ivyo....samahani kama nimemkwaza mtuemsoma vizuri kwamba Dr Slaa sio fair anavyozidi kuwatia pressure magamba, anaingia mpaka kwenye vungu za vitanda vyao. Magamba hayapumui tena.
 
sangara.....kuna watu hawawezi kusoma na picha hawaoni pia!
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada nime mkubali kutumia sanaa ya maneno!

Kwakweli kama ni hivyo Dr amewashika kweli isn't fair!

Hahahahahahahahhaha
 
Naona watu wote mmeshindwa kumwelewa mleta uzi, nimemsoma vizuri kwamba Dr Slaa sio fair anavyozidi kuwatia pressure magamba, anaingia mpaka kwenye vungu za vitanda vyao. Magamba hayapumui tena.

Hewalaa!hata mimi nimeelewa hivyo..wadau wana hasira na ccm mpaka wanashindwa kusoma vizuri
 
Hapo kwenye red umeharibu kwa kutojua au makusudi kwa kuona wivu. CDM ni chama cha siasa ambacho kimedhamiria kushika dola ifikapo mwaka 2015 baada ya kudhulumiwa mwaka 2010. Sasa wewe unataka wasiende huko?

Dr. Slaa kama mtaendaji mkuu wa chama anastahili kwenda sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano wa TZ kwa lengo la kukijenga na kuimarisha chama.

Unaposema huu sio wakati wa kampeni hueleweki! kwani kwenye mikutano yake na wananchi amewaambie wamchague kuwa rais? au anawaelimisha wananchi kuhusu Udhaifu wa CCM na kueleza sera za CDM ili wananchi wajiunge nacho.

Hakika umechemsha

Anger deters good thinking mkuu...tafakari.
 
Back
Top Bottom