Anacheza na hisia huyu

NASS_BZ

Member
Feb 27, 2011
11
2
She is making funny on me coz anajua nampenda. Cku nkidicidd kumdelete ndo atashangaa.
 
She is making funny on me coz anajua nampenda. Cku nkidicidd kumdelete ndo atashangaa.

unasubiri nini?

Hana anachosubiri, zaidi ya mapenzi aliyonayo kwake na dada anajua kuwa anapendwa. Siku mpenzi yakiisha si ndo atam-delete. Halafu huyo dada ndo atataka yale mapenzi ya zamani yarudi halafu itakuwa ngumu.
 
Hii miandiko ya kisms aise hata hujui usome nini
nkidicidd- nimeona dd tupu
 
mdelete fasta hata usimkawize wasichana wako kibao kwanini ujifie kwa uyo mmoja khaa!......me i dont read u at all
 
Acha uporipori wewe, sasa akamdekee nani? Ukitaka kazi ya kuuza utumbo...........................:lol:
 
EMT umeelewa ameandika nini mku
Nifafanulie basi maana nimetoka kapa hapo

Anadai kuna msichana anamchezea kwa vile anajua jamaa amefika (anampenda). Labda anamzingua kumpa mzigo. So, jamaa anadai siku ambayo ataamua kumfuta kwenye moyo wake ndipo huyo msichana atashangaa.
 
Anadai kuna msichana anamchezea kwa vile anajua jamaa amefika (anampenda). Labda anamzingua kumpa mzigo. So, jamaa anadai siku ambayo ataamua kumfuta kwenye moyo wake ndipo huyo msichana atashangaa.

Alichoshindwa kuandika ujumbe ukiwa umekamilika ni nini
Kuna watu hata wakiwa humu ndani wanafikiria ule uandishi wa sms na ndo maana kuna vimaneno kama hivyo vya dcd wanaandika hivyo hivyo
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Alichoshindwa kuandika ujumbe ukiwa umekamilika ni nini
Kuna watu hata wakiwa humu ndani wanafikiria ule uandishi wa sms na ndo maana kuna vimaneno kama hivyo vya dcd wanaandika hivyo hivyo
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi

Labda ndio maana huyo msichana anamchezea? Waweza kuta hata wakati anamtongoza anaongea hivyo hivyo.
 
Labda ndio maana huyo msichana anamchezea? Waweza kuta hata wakati anamtongoza anaongea hivyo hivyo.

kweli kabisa na zile swagga za kitoz
lazima mwanamke aone huyu jamaa vipi
Mbona swagga za kitoto
 
Dah, sijaelewa kabisa, yaani ni sawa na kukutana na mtu anayejisemea barabarani.
 
Back
Top Bottom